-
Sudan yaituhumu Ethiopia kuwa inalipatia silaha kundi moja la waasi
Mar 09, 2021 01:12Sudan imeituhumu serikali ya Ethiopia kuwa inalipatia silaha kundi moja la uasi ili kuudhibiti mji wa al Karmak huko kusini mashariki mwa Sudan.
-
Sudan yataka upatanishi wa kimataifa kuhusu mgogogoro wa Bwawa la al-Nahdha
Feb 23, 2021 23:12Waziri wa Umwagiliaji na Vyanzo vya Maji wa Sudan amesema kuwa, nchi yake inakusudia kuandaa uungaji mkono na upatanishi wa pande nne kwa ajili ya kupatiwa ufumbuzi mzozo wa Bwawa la al-Nahdha.
-
Umoja wa Afrika waanza upatanishi katika mzozo wa Sudan na Ethiopia
Feb 18, 2021 07:30Duru za kuaminika nchini Sudan zimeripoti kuwa, mjumbe wa Umoja wa Afrika alitazamiwa kuwasili Khartoum akiongoza ujumbe wa upatanishi wa umoja huo katika mzozo wa mpakani baina ya Sudan na Ethiopia.
-
Kuendelea maandamano dhidi ya serikali kote Sudan
Feb 12, 2021 23:23Baada ya kupita miaka miwili tokea uanze mgogoro wa Sudan ambao ulipelekea kuondolewa madarakani Rais Omar Al Bashir mnamo Apirli 2019, nchi hiyo ingali inaendelea kushuhudia migogoro kadhaa ya kisiasa, kichumi na kiusalama.
-
Wafuasi wa al Bashir wazidi kutiwa mbaroni nchini Sudan
Feb 12, 2021 04:13Operesheni za kuwatia mbaroni wafuasi wa serikali iliyopinduliwa ya Omar al Bashir zinaendelea baada ya makamu wa rais huyo wa zamani wa Sudan naye kutiwa pingu.
-
Majimbo 7 ya Sudan yatangaza hali ya hatari, raia waendeleza maandamano ya kulalamika hali mbaya
Feb 11, 2021 23:12Majimbo saba ya Sudan yametangaza hali ya hatari kufuatia maandamano ya siku kadhaa mtawalia katika maeneo kadhaa ya nchi hiyo ambapo wananchi wanalalamikia hali mbaya ya maisha na ughali na uhaba wa bidhaa muhimu.
-
Waziri Mkuu wa Sudan atangaza baraza jipya la mawaziri
Feb 09, 2021 02:29Waziri Mkuu wa Sudan Abdalla Hamdok ametangaza baraza jipya la mawaziri la serikali yake.
-
Waziri Mkuu wa Sudan avunja baraza lake la mawaziri
Feb 08, 2021 04:27Waziri Mkuu wa Sudan Abdullah Hamdok amevunja baraza lake la mawaziri. Katika taarifa iliyotolewa Jumapili, Hamdok amesema mawaziri watabakia katika nafasi zao kwa ajili ya kutekeleza majukumu katika wizara zao hadi wakati wa kuundwa serikali mpya na shughuli ya ukabidhianaji wizara kukamilika.
-
Amnesty International yakosoa kuibuliwa anga ya vitisho na ukandamizaji huko Sudan Kusini
Feb 02, 2021 07:43Shirika la Msamaha Duniani Amnesty International limetangaza kuwa idara ya usalama wa taifa ya Sudan Kusini inatumia mamlaka iliyonayo kuibua vitisho na hofu miongoni mwa waandishi habari, wanaharakati na wakosoaji wa serikali; jambo linaloibua hali ya wasiwasi nchini humo.
-
Wagombea wa wizara mbalimbali Sudan watangazwa
Feb 01, 2021 23:31Baraza la uongozi la Sudan limetangaza kuwa limemkabidhi Waziri Mkuu wa nchi hiyo orodha ya majina ya wagombea wa nafasi za uwaziri nchini humo.