Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Sudan

  • Sudan yazidi kuandamwa na mashinikizo ili ianzishe uhusiano na utawala wa Kizayuni

    Sudan yazidi kuandamwa na mashinikizo ili ianzishe uhusiano na utawala wa Kizayuni

    Oct 20, 2020 08:34

    Waziri wa Habari wa Sudan amefichua kuwa, nchi hiyo inaandamwa na mashiniklizo ili ianzishe uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Sudan yakubali kuipa Marekani dola milioni 335 iondolewe katika orodha ya ugaidi

    Sudan yakubali kuipa Marekani dola milioni 335 iondolewe katika orodha ya ugaidi

    Oct 20, 2020 04:09

    Rais Donald Trump amesema Marekani itaiondoa Sudan katika orodha ya nchi 'zinazounga mkono ugaidi' baada ya nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika kukubali kuipa Washington dola milioni 335.

  • Sudan na mahakama ya ICC zachunguza mapendekezo matatu kuhusu kesi ya al Bashir

    Sudan na mahakama ya ICC zachunguza mapendekezo matatu kuhusu kesi ya al Bashir

    Oct 19, 2020 23:44

    Serikali ya Sudan imetangaza kuwa inajadiliana na Mahakama ya Kimataiifa ya Jinai (ICC) mapendekezo matatu kuhusu jinsi ya kumfungulia mashtaka rais wa zamani wa nchi hiyo, Omar al Bashir, na wenzake kadhaa kwa tuhuma za kutenda jinai dhidi ya binadamu na jinai za kivita katika jimbo la Darfur.

  • Waziri Mkuu wa Sudan: Tunaunga mkono juhudi za kutekelezwa uadilifu

    Waziri Mkuu wa Sudan: Tunaunga mkono juhudi za kutekelezwa uadilifu

    Oct 18, 2020 23:34

    Waziri Mkuu wa Sudan amesema katika mazungumzo yake na Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC kwamba nchi yake inaheshimu juhudi za kutekeleza uadilifu duniani.

  • Bensouda kwenda Sudan, ataka al Bashir akabidhiwe kwa mahakama ya ICC

    Bensouda kwenda Sudan, ataka al Bashir akabidhiwe kwa mahakama ya ICC

    Oct 18, 2020 00:54

    Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) anatarajiwa kuelekea nchini Sudan kwa ajili ya kuchunguza suala la kukabidhiwa rais wa zamani wa nchi hiyo, Omar al Bashir kwa mahakama hiyo iliyoko The Hague nchini Uholanzi.

  • Sudan yaendelea kushinikizwa ianzishe uhusiano wa kawaida na utawala wa Israel

    Sudan yaendelea kushinikizwa ianzishe uhusiano wa kawaida na utawala wa Israel

    Oct 17, 2020 03:49

    Sudan inaendelea kushinikizwa ili ianzishe uhusiano wa kawaida wa kidiplomasia na utawala wa Kizayuni wa Israel. Marekani imetangaza bayana kuwa, sharti la Sudan kuondolewa katika orodha ya nchi ambazo zinaunga mkono ugaidi ni nchi hiyo kukubali kuanza kufanya mazungumzo yenye lengo la kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel.

  • Watu kadhaa wauawa na kujeruhiwa katika maandamano ya ghasia Sudan

    Watu kadhaa wauawa na kujeruhiwa katika maandamano ya ghasia Sudan

    Oct 16, 2020 03:54

    Watu kadhaa wameuawa na kujeruhiwa katika maandamano ya ghasia huko mashariki mwa Sudan.

  • Serikali ya Sudan yaonywa kuhusu machafuko yatakayotokea ikianzisha uhusiano wa kawaida na Israel

    Serikali ya Sudan yaonywa kuhusu machafuko yatakayotokea ikianzisha uhusiano wa kawaida na Israel

    Oct 12, 2020 23:12

    Mkuu wa zamani wa Baraza la Fiqhi ya Kiislamu la Sudan ameonya kuwa machafuko yatatokea nchini humo endapo wananchi watalazimishwa kukubali nchi yao ianzishe uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.

  • Sudan yaikosoa Marekani kwa kukwamishwa kufikiwa demokrasia huko Khartoum

    Sudan yaikosoa Marekani kwa kukwamishwa kufikiwa demokrasia huko Khartoum

    Oct 12, 2020 04:05

    Waziri Mkuu wa Sudan ameituhumu Marekani kuwa inaikwamisha Sudan kufikia demokrasia.

  • Uamuzi wa Sudan wa kuondoa askari wake katika vita vya Yemen

    Uamuzi wa Sudan wa kuondoa askari wake katika vita vya Yemen

    Oct 11, 2020 03:39

    Katika hali ambayo Saudi Arabia inaendelea kupiga ngoma ya vita huko nchini Yemen, waitifaki wake katika muungano huo wa kijeshi hawako tayari tena kuvumilia siasa za kupenda vita za Riyadh na hivi sasa wamo mbioni kujiondoa katika muungano huo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS