-
Eswatini yaikosoa US kwa kuingilia masuala yake ya ndani
Jun 03, 2023 01:32Serikali ya Eswatini imeukosoa vikali ubalozi wa Marekani kwa kuingilia masuala ya ndani ya nchi hiyo ya kusini mwa Afrika.
-
AU yaitaka eSwatini itengue marufuku ya vyama vya siasa
Sep 23, 2018 07:54Umoja wa Afrika umetoa mwito wa kubatilishwa marufuku ya kuwepo vyama vya siasa nchini eSwatini (swaziland), sanjari na kuruhusiwa wagombea wa vyama hivyo kuwa na uhuru wa kufanya kampeni za kisiasa.
-
eSwatini (Swaziland) kutokata uhusiano na Taiwan licha ya mashinikizo ya China
Jun 02, 2018 04:08Jamhuri ya eSwatini (Swaziland) imesisitiza kuwa haitakata uhusiano wake wa kidiplomasia na Taiwan licha ya mashinikizo ya kila upande kutoka China.
-
Mfalme wa Swaziland abadilisha jina la nchi yake kuwa eSwatini
Apr 20, 2018 07:31Mfalme wa Swaziliand, Mswati wa Tatu, ametangza kubadilisha jina la nchi yake ambayo sasa itajulikana kama Ufalme wa eSwatini.