-
Marekani yaua zaidi ya raia 200 nchini Syria
Apr 08, 2017 03:22Ndege za kivita za Marekani zimeua raia wasiopungua 204 tangu mwezi Machi hadi hivi sasa katika mashambulizi ya anga yanayofanywa na nchi hiyo huko Raqqah, kaskazini mwa Syria.
-
Sweden: Kisingizio cha shambulio la US Syria ni cha uongo kama cha Iraq
Apr 08, 2017 03:21Mjumbe wa kudumu wa Sweden katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa, madai yanayotumiwa na Marekani kuhalalisha shambulio lake la makombora nchini Syria ni ya uongo kama yaliyovyokuwa madai ya nchi hiyo wakati wa kuivamia Iraq mwaka 2003.
-
Rouhani: Hujuma ya Marekani Syria imeimarisha magaidi
Apr 07, 2017 23:30Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria hujuma ya Marekani nchini Syria na kutoa wito kwa walimwengu kupinga sera kama hizo na kuongeza kuwa, sera hizo za kivita za Marekani zitakuwa na matokeo mabaya na haraibifu kwa eneo na dunia nzima.
-
Al-Liham: Marekani inapiga ngoma ya Vita vya Tatu vya Dunia nchini Syria
Apr 07, 2017 23:11Mwanaharakati wa Syria anayeishi Sydney, mji mkuu wa Australia amesema kuwa, hivi sasa Marekani inapigia ngoma ya Vita vya Tatu vya Dunia kupitia mashambulizi yake ndani ya taifa hilo la Kiarabu.
-
Kujiweka mbali waungaji mkono wa Trump Uingereza kufuatia mashambulizi ya Marekani huko Syria
Apr 07, 2017 09:40Gazeti la Independent linalochapishwa mjini London Uingereza limeyataja mashambulizi ya makombora ya Marekani huko Syria kuwa ni yenye kukinzana na mabadiliko makuu katika siasa za Rais wa Marekani.
-
Syria: Marekani iko safu moja na magaidi kupambana na serikali
Apr 07, 2017 08:39Ikulu ya Rais Bashar al-Assad wa Syria imesema kuwa, mashambulizi ya Marekani dhidi ya kambi ya kikosi cha anga cha nchi hiyo katika eneo la Shayrat, mashariki mwa Syria ni hatua ya kijinga na inayotokana na mtazamo finyu wa kisiasa na kijeshi.
-
Radiamali ya awali ya Russia kwa shambulio la Marekani nchini Syria
Apr 07, 2017 08:26Shambulizi la makombora ya Marekani dhidi ya Syria, ambalo limetekelezwa kwa amri ya kwanza ya kijeshi ya Rais Donald Trump dhidi ya serikali ya kigeni, limekabiliwa na radiamali tofauti na hasa kutoka Russia.
-
Iran, Russia zalaani hujuma ya US dhidi ya Syria, Israel na Uturuki zaunga mkono
Apr 07, 2017 02:09Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani vikali hatua ya Marekani kuushambulia kwa makombora mkoa wa Homs ulioko magharibi wa Syria, kwa kisingizio cha 'kuiadhibu' Syria kwa shambulio la silaha za kemikali inayodai lilifanywa na serikali ya Damascus katika mji wa Khan Sheikhoun.
-
Chokochoko za Marekani Mashariki ya Kati zimeanza kwa kuishambulia kwa makombora Syria
Apr 07, 2017 00:16Saa kadhaa baada ya kutangazwa mashauriano yaliyofanywa baina ya viongozi wa Marekani kwa ajili ya kuingilia kijeshi mgogoro wa Syria kwa kisingizio cha shambulio la silaha za kemikali lililofanywa katika mji wa Khan Sheikhoun, duru za Magharibi zimetangaza kuwa Washington imeshambulia kwa makombora mkoa wa Homs ulioko magharibi wa Syria.
-
Mwakilishi wa Republican katika Kongresi: Serikali ya Syria haikuhusika na mashambulizi ya silaha za kemikali
Apr 06, 2017 09:30Mwakilishi wa chama tawala cha Republican katika Kongresi ya Marekani amekanusha madai yanayosema kuwa serikali ya Syria ilihusika na mashambulizi ya silaha za kemikali katika eneo la Khan Shaykhun huko kaskazini magharibi mwa nchi hiyo.