Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Syria

  • 'Kusimama kidete Syria ni katika heshima za umma wa Kiislamu'

    'Kusimama kidete Syria ni katika heshima za umma wa Kiislamu'

    Sep 01, 2016 11:08

    Mwanaharakati mmoja wa Misri amesema kuwa, Syria ni katika mataifa ya kujivunia ya ulimwengu wa Kiislamu na kujilinda na kusimama kidete nchi hiyo ni heshima kwa umma wa Kiislamu.

  • Ripoti: Mashambulio ya anga yanayoongozwa na Marekani yameua zaidi ya watu 6,000 Syria

    Ripoti: Mashambulio ya anga yanayoongozwa na Marekani yameua zaidi ya watu 6,000 Syria

    Aug 24, 2016 23:48

    Mashambulio ya anga yaliyofanywa na kile kinachoitwa Muungano wa kupambana na Daesh unaoongozwa na Marekani yameua zaidi ya watu 6,000 nchini Syria tangu muungano huo ulipoanzisha operesheni zake hizo mwishoni mwa mwaka 2014.

  • Serikali ya Damascus: Operesheni ya kijeshi ya Uturuki ndani ya ardhi ya Syria ni ukiukaji wa wazi wa mamlaka ya kujitawala

    Serikali ya Damascus: Operesheni ya kijeshi ya Uturuki ndani ya ardhi ya Syria ni ukiukaji wa wazi wa mamlaka ya kujitawala

    Aug 24, 2016 10:32

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria imelaani operesheni ya kijeshi ya Uturuki iliyopewa jina la Ngao ya Euphrates huko kaskazini mwa Syria na kueleza kuwa uingiliaji huo wa kijeshi wa Ankara ni ukiukaji wa wazi wa mamlaka ya kujitawala ya nchi hiyo.

  • Russia yasisitizia mazungumzo chanya baina yake na Iran na Uturuki kuhusu Syria

    Russia yasisitizia mazungumzo chanya baina yake na Iran na Uturuki kuhusu Syria

    Aug 19, 2016 03:32

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesema, mazungumzo ya pande tatu yanayoendelea baina ya nchi hiyo na Iran na Uturuki kuhusu Syria ni yenye taathira chanya.

  • Ushirikiano wa kistratijia wa Iran na Russia katika kupambana na DAESH Syria na makelele ya Marekani

    Ushirikiano wa kistratijia wa Iran na Russia katika kupambana na DAESH Syria na makelele ya Marekani

    Aug 18, 2016 22:21

    Wizara ya Ulinzi ya Russia, siku chache zilizopita ilitangaza kupitia taarifa kuwa ndege za kivita za masafa marefu za nchi hiyo zimeruka kutokea kituo kimoja cha jeshi la anga la Iran na kufanya mashambulio dhidi ya ngome za makundi ya kigaidi ya Daesh na Jabhatu-Nusra (Fat-hu Sham).

  • Baghdad yairuhusu Russia kutumia anga yake dhidi ya Daesh

    Baghdad yairuhusu Russia kutumia anga yake dhidi ya Daesh

    Aug 17, 2016 02:42

    Baghdad imesema kuwa Russia imeruhusiwa kwa masharti kutumia anga ya Iraq kuendesha mashambulizi dhidi ya kundi la Daesh huko Syria.

  • Magaidi 150 wa Daesh waangamizwa mashariki mwa Syria

    Magaidi 150 wa Daesh waangamizwa mashariki mwa Syria

    Aug 05, 2016 23:18

    Jeshi la Syria limefanikiwa kuangamiza makumi ya wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh katika mkoa wa Deir Ez-Zour, mashariki mwa nchi mapema jana Ijumaa.

  • Assad: Wamagharibi hawawezi kuvumilia uhuru wa Syria

    Assad: Wamagharibi hawawezi kuvumilia uhuru wa Syria

    Jul 27, 2016 03:09

    Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema nchi za Magharibi zimeshindwa kuvumilia uhuru wa kujitawala Syria na ndiposa zikaanza kuunga mkono harakati za kigaidi nchini humo.

  • UN, Amnesty zalaani kuuawa watoto wa Syria na ndege za vita za Marekani

    UN, Amnesty zalaani kuuawa watoto wa Syria na ndege za vita za Marekani

    Jul 21, 2016 23:47

    Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa UNICEF umelaani vikali mauaji ya watoto wadogo katika hujuma ya anga ya ndege za Marekani kaskazini mwa Syria.

  • Assad: Nitakumbukwa kama muokozi wa uhuru wa Syria

    Assad: Nitakumbukwa kama muokozi wa uhuru wa Syria

    Jul 14, 2016 11:22

    Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema kwamba, anataraji kuwa historia itamkumbuka kama kiongozi aliyesimama kidete kutetea uhuru wa kujitawala nchi yake mbele ya chokochoko za mabeberu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS