Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Syria

  • Rais wa Syria asisitiza ulazima wa kupambana na misingi ya kifikra ya ugaidi

    Rais wa Syria asisitiza ulazima wa kupambana na misingi ya kifikra ya ugaidi

    Aug 26, 2022 22:52

    Rais Bashar al Assad wa Syria amesisitiza ulazima wa kupambana na misingi ya kifikra ya ugaidi na akaeleza kwamba, kupambana na ugaidi hakutawezekana kwa kutumia nguvu za kijeshi pekee, kwa sababu idiolojia ya mitazamo ya kufurutu ada haitambui mipaka bali inajipanua na kuenea kwa kasi kutoka nchi moja hadi nyingine.

  • Erdoğan: Uturuki haipiganii kumwondoa Bashar al Assad katika mfumo wa kisiasa wa Syria

    Erdoğan: Uturuki haipiganii kumwondoa Bashar al Assad katika mfumo wa kisiasa wa Syria

    Aug 20, 2022 22:13

    Katika mwendelezo wa kauli zinazogongana ambazo zinatolewa na viongozi wa Uturuki kuhusu Syria, rais wa nchi hiyo Recep Tayyip Erdoğan amedai kuwa Uturuki haipiganii kumwondoa katika muundo wa kisiasa Rais Bashar al Assad wa nchi hiyo.

  • Marekani inaiba 80% ya mafuta yanayozalishwa Syria kila siku

    Marekani inaiba 80% ya mafuta yanayozalishwa Syria kila siku

    Aug 16, 2022 03:09

    Marekani inapora asilimia 80 ya mafuta yanayozalishwa kwa siku nchini Syria.

  • Magaidi 50 wa Daesh wahamishiwa Iraq kutoka nchini Syria

    Magaidi 50 wa Daesh wahamishiwa Iraq kutoka nchini Syria

    Aug 13, 2022 22:01

    Kitengo cha upashaji habari cha jeshi la Iraq kimetoa ripoti rasmi na kusema kuwa karibu wanachama 50 wa genge la kigaidi na ukufurishaji la Dashe (ISIS) wamehamishiwa mkoani Nainawa (Nineveh) Iraq kutoka katika kambi ya al Hawl ya nchini Syria.

  • Russia: Kuondoka majeshi ya Marekani Syria kutarahisisha na kuharakisha kuangamizwa magaidi

    Russia: Kuondoka majeshi ya Marekani Syria kutarahisisha na kuharakisha kuangamizwa magaidi

    Aug 10, 2022 03:14

    Mwakilishi wa kudumu wa Russia katika Umoja wa Mataifa amesema, kuondoka majeshi ya Marekani Syria kutarahisisha na kusahilisha kwa haraka zaidi kuangamizwa magaidi katika nchi hiyo.

  • Syria: Tumejiweka tayari kukabiliana na shambulio lolote litakalofanywa na Uturuki

    Syria: Tumejiweka tayari kukabiliana na shambulio lolote litakalofanywa na Uturuki

    Jul 27, 2022 03:33

    Wizara ya ulinzi ya Syria imetangaza kuwa jeshi la nchi hiyo limejiweka tayari kikamilifu kukabiliana na shambulio lolote linaloweza kufanywa na Uturuki na makundi inayoyaunga mkono.

  • Kwa mara nyingine China yataka Syria iondolewe vikwazo

    Kwa mara nyingine China yataka Syria iondolewe vikwazo

    Jul 25, 2022 21:57

    Naibu mwakilishi wa kudumu wa China katika Umoja wa Mataifa amesisitiza kwamba kuna wajibu wa kuondolewa haraka vikwazo ilivyowekewa Syria kwani vikwazo hivyo vinakwamisha juhudi za kupeleka misaada ya kibinadamu nchini humo.

  • Jeshi la Syria latungua makombora ya Israel viungani mwa Damascus

    Jeshi la Syria latungua makombora ya Israel viungani mwa Damascus

    Jul 22, 2022 02:41

    Kikosi cha Ulinzi wa Anga cha Jeshi la Syria kimetangaza kutungua makombora yaliyokuwa yamevurumishwa na utawala haramu wa Israel nje ya mji mkuu Damascus.

  • Mafanikio ya mkutano wa Tehran katika matamshi ya Erdoğan

    Mafanikio ya mkutano wa Tehran katika matamshi ya Erdoğan

    Jul 21, 2022 22:02

    Kama ilivyotazamiwa, Mkutano wa 7 wa "Dhamana ya Mchakato wa Astana" uliofanyika majuzi mjini Tehran umekuwa na mafanikio makubwa kuhusu masuala yanayohusiana na serikali halali ya Rais Bashar al-Assad wa Syria na watu wa nchi hiyo.

  • Rais wa Iran apongeza mapambano ya watu wa Syria

    Rais wa Iran apongeza mapambano ya watu wa Syria

    Jul 21, 2022 03:04

    Rais Ebrahim Raeisi wa Iran amesema ana yakini kuwa Syria ina mustakakbali mwema huku akiwapongeza wananchi wa Syria kwa mapambano na muqawama katika kipindi cha miaka 11 ya vita dhidi ya nchi hiyo ambavyo vinaungwa mkono na madola ya kigeni.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS