Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Syria

  • Russia: Misaada ya kibinadamu nchini Syria haipaswi kuwekewa masharti ya kisiasa

    Russia: Misaada ya kibinadamu nchini Syria haipaswi kuwekewa masharti ya kisiasa

    Jul 14, 2020 06:41

    Naibu Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Russia amesema kuwa misaada ya kibinadamu kwa ajili ya Syria haipaswi kuhusishwa na masuala ya kisiasa na kuzusha wasiwasi kwa baadhi ya watu.

  • Algeria yakosoa misimamo ya Jumuiya ya Nchi za Kiarabu kuhusiana na Libya na Syria

    Algeria yakosoa misimamo ya Jumuiya ya Nchi za Kiarabu kuhusiana na Libya na Syria

    Jul 12, 2020 23:38

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Algeria amekosoa misimamo ya Jumuiya ya Nchi za Kiarabu kuhusiana na Libya na Syria.

  • Makubaliano ya pande zote ya Iran na Syria, maonyesho ya nguvu ya kambi ya Muqawama

    Makubaliano ya pande zote ya Iran na Syria, maonyesho ya nguvu ya kambi ya Muqawama

    Jul 10, 2020 01:54

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Syria ambazo ni washirika wa kistratijia katika eneo la Asia magharibi zimesaini makubaliano ya ushirikiano kamili katika nyanya za kiulinzi, kiusalama na kijeshi.

  • Iran na Syria zatiliana saini hati ya ushirikiano wa kijeshi na kiusalama

    Iran na Syria zatiliana saini hati ya ushirikiano wa kijeshi na kiusalama

    Jul 09, 2020 03:19

    Mkuu wa vikosi vya ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Waziri wa Ulinzi wa Syria wametiliana saini mjini Damascus hati ya ushirikiano wa pande kadhaa katika nyanja za kijeshi, kiulinzi na kiusalama.

  • Syria yawakamata magaidi wanaofungamana na Marekani

    Syria yawakamata magaidi wanaofungamana na Marekani

    Jul 07, 2020 22:33

    Jeshi la Syria limetangaza kutekeleza oparesheni ambayo imepelekea kukamatwa wanachama wa kundi la kigaidi ambalo linafungamana na Marekani mashariki mwa nchi hiyo.

  • Rais wa Ageria: Libya itakuwa Somalia mpya barani Afrika

    Rais wa Ageria: Libya itakuwa Somalia mpya barani Afrika

    Jul 05, 2020 04:49

    Rais Abdelmadjid Tebboune wa Algeria amesema kuwa, hali inayoshuhudiwa sasa nchini Libya inafanana na ile ya Syria kutokana na nchi kadhaa kuingilia masuala ya ndani ya nchi hiyo.

  • Hatua ya Uturuki ya kutuma jeshi kaskazini mwa Syria

    Hatua ya Uturuki ya kutuma jeshi kaskazini mwa Syria

    Jul 03, 2020 02:37

    Uturuki imetangaza kuwa imetuma kundi jingine la kikosi maalumu cha jeshi la nchi hiyo katika eneo la Ras al Ain huko kaskazini mwa Syria.

  • Mchakato wa Astana; hakikisho la kupatikana amani, utawala huru na mamlaka ya kitaifa ya Syria

    Mchakato wa Astana; hakikisho la kupatikana amani, utawala huru na mamlaka ya kitaifa ya Syria

    Jul 02, 2020 07:08

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, Mchakato wa Astana ungali ndio mpango pekee uliofanikiwa kusaidia kutatua mgogoro wa Syria kwa njia ya amani.

  • Iran: Tutaendelea kuliunga mkono taifa la Syria, muqawama

    Iran: Tutaendelea kuliunga mkono taifa la Syria, muqawama

    Jun 18, 2020 12:33

    Makamu wa Kwanza wa Rais wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu itaendelea kuliunga mkono na kusimama na taifa la Syria pamoja na kambi ya muqawama katika eneo.

  • Israel kujenga 'vitongoji 300 vya Trump' katika Milima ya Golan, Syria

    Israel kujenga 'vitongoji 300 vya Trump' katika Milima ya Golan, Syria

    Jun 15, 2020 02:23

    Utawala ghasibu wa Israel unapanga kujenga mamia ya vitongoji vipya vya walowezi wa Kizayuni katika Miinuko ya Golan nchini Syria, vitakavyoitwa "Miinuko ya Trump".

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS