Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Syria

  • UN: Watu zaidi ya 16,000 wamebaki bila makazi kutokana na mashambulio ya kijeshi ya Uturuki Syria

    UN: Watu zaidi ya 16,000 wamebaki bila makazi kutokana na mashambulio ya kijeshi ya Uturuki Syria

    Oct 19, 2019 03:33

    Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa zaidi ya watu 16,000 wameachwa bila makazi kufuatia operesheni ya mashambulio ya kijeshi yaliyofanywa hivi karibuni na Uturuki kaskazini mwa Syria.

  • Syria yapinga kuundwa kinachodiwa 'eneo salama' kaskazini mwa nchi

    Syria yapinga kuundwa kinachodiwa 'eneo salama' kaskazini mwa nchi

    Oct 18, 2019 03:53

    Syria imelaani jitihada za Uturuki za kunda eneo inalodai kuwa eti ni salama kaskazini mwa nchi hiyo na kuitaka Ankara iache kuingilia mambo yake ya ndani.

  • Bashar Assad: Syria itajibu kisheria mashambulizi ya Uturuki

    Bashar Assad: Syria itajibu kisheria mashambulizi ya Uturuki

    Oct 17, 2019 23:57

    Rais Bashar al Assad wa Syria amesema hadi sasa nchi yake imeshatoa jibu kwa mashambulizi ya Uturuki na magaidi waitifaki wa Uturuki na kuongeza kuwa Syria itatumia uwezo wake wote wa kisheria kujibu mashambulizi dhidi yake.

  • Operesheni ya Uturuki imefanya watu laki 3 kuwa wakimbizi Syria

    Operesheni ya Uturuki imefanya watu laki 3 kuwa wakimbizi Syria

    Oct 17, 2019 23:54

    Operesheni ya kijeshi ya Uturuki huko kaskazini mwa Syria iliyopewa jina la 'Chemchemi ya Amani' imepelekea watu zaidi ya laki tatu kuyahama makazi yao na kukimbilia usalama wao.

  • Bunge la Marekani lalaani hatua ya Trump kuondoa wanajeshi wa Marekani Syria

    Bunge la Marekani lalaani hatua ya Trump kuondoa wanajeshi wa Marekani Syria

    Oct 17, 2019 23:53

    Hatua ya rais wa Marekani, Donald Trump ya kuondoa wanajeshi wa Marekani kaskazini mwa Syria, jambo ambalo limewezesha Uturuki kushambulia eneo hilo, imekosolewa ndani ya Marekani.

  • Syria; ajenda kuu ya mazungumzo ya mjumbe wa Rais wa Russia mjini Tehran

    Syria; ajenda kuu ya mazungumzo ya mjumbe wa Rais wa Russia mjini Tehran

    Oct 17, 2019 06:55

    Mwakilishi maalumu wa Rais Vladimir Putin wa Russia amekuja hapa Tehran na kufanya mazungumzo na Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran na Mjumbe Maalumu wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran kuhusu masuala ya Syria na wamejadiliana matukio ya hivi karibuni katika nchi hiyo ya Kiarabu.

  • Hali mbaya kwa wanajeshi wa Marekani Syria, Washington yalazimika kushambulia kambi zake yenyewe

    Hali mbaya kwa wanajeshi wa Marekani Syria, Washington yalazimika kushambulia kambi zake yenyewe

    Oct 17, 2019 04:33

    Baada ya wanajeshi vamizi wa Marekani kulazimika kuondoka kaskazini mwa Syria, jeshi hilo vamizi limeamua kushambulia na kuteketeza kila kitu katika kambi zake ambazo linalazimika kuondoka kaskazini mwa Syria.

  • Sisitizo la Russia la kutatuliwa kisiasa hitilafu kati ya Uturuki na Syria

    Sisitizo la Russia la kutatuliwa kisiasa hitilafu kati ya Uturuki na Syria

    Oct 16, 2019 07:29

    Russia ikiwa moja ya nchi muhimu katika medani na matukio ya Syria imetangaza msimamo wake kuhusiana na mashambulio ya kijeshi ya Uturuki huko kaskazini mwa Syria.

  • Zarif ataka kusitishwa uvamizi wa kijeshi dhidi ya Syria

    Zarif ataka kusitishwa uvamizi wa kijeshi dhidi ya Syria

    Oct 16, 2019 04:09

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa mwito wa kusitishwa uvamizi na mashambulizi ya kijeshi dhidi ya Syria.

  • Trump na uvamizi wa Uturuki kaskazini mwa Syria; kutoka kubariki hadi vikwazo

    Trump na uvamizi wa Uturuki kaskazini mwa Syria; kutoka kubariki hadi vikwazo

    Oct 15, 2019 23:26

    Licha ya kwamba awali rais wa Marekani alibariki uvamizi wa kijeshi wa Uturuki huko kaskazini mwa Syria lakini hivi sasa amegeuka kikamilifu na kutoa amri ya kuwekewa vikwazo Ankara.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS