-
Trump na misimamo ya undumakuwili kuhusu magaidi wa Daesh (ISIS)
Oct 15, 2019 04:40Licha ya Rais Donald Trump wa Marekani kutoa onyo kuhusiana na kuibukka upya shughuli za kundi la kigaidi la Daesh (ISIS), kitendo cha kuondoa askari wa Kimarekani katika maeneo yanayoshambuliwa na Uturuki huko kaskazini mwa Syria, kimeandaa uwanja wa kufufuka upya kundi hilo la ukufurishaji ndani ya nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Bunge la Iran lalaani mashambulizi ya Uturuki dhidi ya Syria
Oct 14, 2019 08:38Wawakilishi wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) wametoa taarifa wakilaani mashambulizi ya jeshi la Uturuki dhidi ya Syria na kusisitiza kuwa, Jamhuri ya Kiislamu itaendelea kutetea watu wanaodhulumiwa kote duniani.
-
ICRC yaeleza wasiwasi wake kuhusu hali ya kibinadamu kaskazini mwa Syria, Uturuki yaendeleza mashambulizi
Oct 14, 2019 07:28Kamati ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu (ICRC) imeeleza wasiwasi wake mkubwa kuhusiana na hali ya makumi ya maelfu ya wakimbizi katika eneo la kaskazini mwa Syria linaloendelea kushambuliwa na jeshi la nchi jirani ya Uturuki.
-
Larijani: Chaguo la kijeshi haliwezi kusuluhisha mgogoro wa Syria
Oct 14, 2019 04:31Spika wa Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema mgogoro wa Syria hauwezi kupatiwa ufumbuzi kupitia uingiliaji wa kijeshi.
-
Arab League: Operesheni ya Uturuki nchini Syria ni uvamizi wa kijeshi
Oct 13, 2019 04:25Jumuiya ya Nchi za Kiarabu imesema operesheni inayofanywa na vikosi vya jeshi la Uturuki huko kaskazini mwa Syria ni uvamizi wa wazi wa kijeshi.
-
Misri: Mashambulio ya Uturuki dhidi ya Syria ni tishio kwa Waarabu
Oct 12, 2019 22:54Sameh Shoukry, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Misri amesema kuwa, mashambulio ya kijeshi ya Uturuki dhidi ya Syria yanakiuka mamlaka ya kujitawala nchi hiyo na ni tishio kwa nchi za Kiarabu.
-
Wapalestina walaani mashambulizi ya Uturuki nchini Syria
Oct 12, 2019 01:23Harakati ya Kidemokrasia kwa ajili ya Ukombozi wa Palestina sambamba na kutoa taarifa ya kulaani uvamizi wa kijeshi wa Uturuki dhidi ya ardhi ya Syria kwa kuutaja kuwa uliokiuka haki ya kujitawala na uhuru wa nchi hiyo ya Kiarabu, imesisitiza kuwa mashambulizi hayo ni uingiliaji wa wazi wa Ankara katika masuala ya ndani ya Syria.
-
Faisal Mekdad: Kama jeshi la Syria lingekuwepo maeneo ya Wakurdi, Uturuki isingewashambulia
Oct 12, 2019 01:22Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria sambamba na kumkosoa vikali Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki, amesema kuwa tangu mwanzoni mwa mzozo wa Syria, serikali ya Ankara imekuwa ikiwaunga mkono magaidi.
-
Taasisi za kimataifa zatahadharisha kuhusu athari za mashambulizi ya Uturuki kaskazini mwa Syria
Oct 11, 2019 04:07Taasisi nyingi za kimataifa zimetahadharisha kuhusu taathira za mashambulizi ya Uturuki kaskazini mwa Syria na kutangaza kuwa mashambulizi hayo yanaweza kusababisha mamia ya watu kuwa wakimbizi.
-
Shambulizi la Uturuki dhidi ya Syria katika mtazamo wa serikali ya Damascus
Oct 10, 2019 14:46Uvamizi wa jeshi la Uturuki huko kaskazini mwa Syria umekabiliwa na upinzani mkali serikali ya Damascus na makundi ya Kikurdi ya Syria.