Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Syria

  • Rais wa Sudan awa kiongozi wa mwanzo wa Arab League kuitembelea Syria miaka 8 tangu vilipoanza vita

    Rais wa Sudan awa kiongozi wa mwanzo wa Arab League kuitembelea Syria miaka 8 tangu vilipoanza vita

    Dec 17, 2018 00:36

    Rais Omar al-Bashir wa Sudan amefanya safari nchini Syria na kuwa kiongozi wa kwanza wa nchi mwanachama wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) kuitembelea nchi hiyo tangu ulipoanza mgogoro wa ndani miaka minane iliyopita.

  • Ndege za kivita za Saudia zaishambulia Hudaydah licha ya mapatano

    Ndege za kivita za Saudia zaishambulia Hudaydah licha ya mapatano

    Dec 15, 2018 04:05

    Ndege za kivita za Saudi Arabia zimeshambulia kwa mabomu mji wa al-Hudaydah, siku moja baada ya kufikiwa mapatano baina ya pande mbili nchini Yemen, kufuatia mazungumzo yaliyohusu mji huo wa bandari wa magharibi mwa nchi yanayosimamiwa na Umoja wa Mataifa.

  • Wasiwasi wa kuongezeka misaada ya Magharibi kwa magaidi wa Syria

    Wasiwasi wa kuongezeka misaada ya Magharibi kwa magaidi wa Syria

    Dec 15, 2018 02:55

    Tangu mwaka 2011 yalipoanzishwa machafuko nchini Syria hadi hivi sasa, nchi za Magharibi hasa Marekani, Uingereza na Ufaransa pamoja na vibaraka wao baadhi ya nchi za Kiarabu zimekuwa zikiyaunga mkono kwa hali na mali magenge ya kigaidi kwa tamaa ya kuipindua serikali iliyoko madarakani kihalali nchini Syria.

  •  Syria kurejeshewa uanachama wa Arab League baada ya kupita miaka saba?

    Syria kurejeshewa uanachama wa Arab League baada ya kupita miaka saba?

    Dec 14, 2018 23:11

    Bunge la Jumuiya ya Nchi za Kiarabu limeitaka Arab League iirejeshe Syria kuwa mwanachama wake, miaka saba baada ya kuvuliwa uanachama huo.

  • Raia 200 wakombolewa kutoka mikononi mwa magaidi, Deir ez-Zor, Syria

    Raia 200 wakombolewa kutoka mikononi mwa magaidi, Deir ez-Zor, Syria

    Dec 10, 2018 12:38

    Baada ya mapambano makali na genge la kigaidi la Daesh katika mji wa Hajin wa mkoa wa Deir ez-Zor wa mashariki mwa Syria, hatimaye wanamgambo wa Kikurdi wanaojulikana kwa jina la Askari wa Demokrasia wa Syria wamefanikiwa kuwakomboa raia 200 waliokuwa chini ya udhibiti wa magaidi hao wakufurishaji.

  • Njama mpya za Marekani za kuunda jeshi la kieneo nchini Syria

    Njama mpya za Marekani za kuunda jeshi la kieneo nchini Syria

    Dec 09, 2018 23:24

    Mkuu wa Jeshi la Marekani amesema kuwa nchi hiyo ina nia ya kuanzisha na kulipa mafunzo jeshi la watu 40 elfu mashariki mwa Syria kwa madai ya kuleta utulivu katika eneo hilo.

  • Marekani yaendeleza umwagaji damu Syria, yaua watu 8 wa familia moja

    Marekani yaendeleza umwagaji damu Syria, yaua watu 8 wa familia moja

    Dec 07, 2018 20:55

    Muungano wa eti kupambana na magaidi wa Daesh unaoongozwa na Marekani umeendelea kufanya mashambulizi yake ya anga katika mkoa wa mashariki wa Deir ez-Zor nchini Syria na kuua raia wengi.

  • UN: Magaidi wa Daesh wanawachinja raia wa Syria, Deir ez-Zor

    UN: Magaidi wa Daesh wanawachinja raia wa Syria, Deir ez-Zor

    Dec 05, 2018 23:15

    Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa ametoa indhari juu ya kuendelea kuwa mbaya hali ya kibinadamu nchini Syria, na kushtadi mauaji ya raia yanayofanywa na wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) mashariki mwa nchi hiyo ya Kiarabu.

  • Magaidi Syria wapokea 'drones' 100 za kufanya hujuma za kemikali Idlib

    Magaidi Syria wapokea 'drones' 100 za kufanya hujuma za kemikali Idlib

    Dec 04, 2018 11:13

    Kundi la kigaidi la Jabhatu Nusra la Syria limepokea ndege zisizo na rubani zipatazo 100 litakazozitumia kufanya mashambulizi ya kemikali za sumu katika mkoa wa Idlib, kaskazini magharibi mwa nchi.

  • UN yaitaka Israel iondoke kwenye Miinuko ya Golan ya Syria

    UN yaitaka Israel iondoke kwenye Miinuko ya Golan ya Syria

    Dec 01, 2018 04:35

    Kwa mara nyingine tena Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepasisha kwa wingi wa kura azimio la kuutaka utawala ghasibu wa Israel kuondoka katika eneo la Miinuko ya Golan la Syria ambalo umelikalia kwa mabavu kwa karibu nusu karne sasa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS