-
Jeshi la Syria latungua ndege nyingine ya Israel, makombora manne
Nov 30, 2018 01:01Kikosi cha anga cha jeshi la Syria kimetungua ndege moja ya utawala wa Kizayuni wa Israel iliyoingia katika anga yake, kusini mwa nchi hiyo.
-
Magaidi wa US wawashambulia raia kwa silaha za gesi ya sumu Syria
Nov 25, 2018 04:34Watu zaidi ya 70 wamelazwa hospitalini baada ya magaidi wanaoungwa mkono na Marekani kutekeleza shambulizi la silaha za gesi ya sumu katika mji wa kaskazini mwa Syria wa Aleppo.
-
Ndege za Marekani zaendelea kuwashambulia wananchi wa Syria kwa mabomu ya fosforasi
Nov 21, 2018 23:17Muungano wa eti kupambana na magaidi wa Daesh unaoongozwa na Marekani umeendelea kuwamiminia mabomu ya kemikali hatari ya fosforasi, wananchi wa mji wa Hajin wa mashariki mwa Syria.
-
UNICEF: Watoto 870 wameuawa mashariki mwa Syria katika kipindi cha miezi 9 iliyopita
Nov 17, 2018 23:14Mfuko wa Umoja wa Mataifa wa Kuhudumia Watoto (UNICEF) umesema kuwa, katika kipindi cha miezi 9 iliyopita, watoto 870 wameuawa mashariki mwa Syria.
-
Zaidi ya magaidi 24 wa ISIS wauawa nchini Iraq
Nov 17, 2018 13:00Zaidi ya magaidi 24 wa genge la ukufurishaji la Daesh (ISIS) wameuawa katika mashambulizi ya anga na nchi kavu yaliyofanywa kwenye maeneo tofauti na wanajeshi wa Iraq katika opereseheni ya kuyasafisha mabaki ya magaidi hao katika nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Russia: Wakimbizi 270,000 wa Syria wamerejea nyumbani
Nov 16, 2018 11:23Jeshi la Russia limetangaza habari ya kurejea nyumbani wakimbizi zaidi ya laki mbili na 70 elfu wa Syria ndani ya miezi michache iliyopita.
-
Pentagon yakiri kutumwa misaada na taasisi za nchini Marekani kwa magaidi
Nov 13, 2018 10:51Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) imetoa ripoti ikikiri kwamba taasisi za misaada ya kujitolea nchini humo zimetuma misaada mbalimbali kwa makundi ya kigaidi nchini Syria na Iraq, kwa kisingizio cha misaada ya kibinaadamu.
-
Ndege za kivita za Marekani zaua raia wengine 15 Syria
Nov 04, 2018 04:22Kwa mara nyingine tena ndege za muungano wa kijeshi wa Marekani zimetekeleza mashambulizi ya anga dhidi ya wakazi wa mkoa wa Dayr al-Zawr, mashariki mwa Syria na kuua raia 15.
-
Syria yaitaka UN ichunguze jinai za kivita za US eneo la Dayr al-Zawr
Oct 21, 2018 19:48Serikali ya Syria imeuandikia barua Umoja wa Mataifa ikiutaka ufanye uchunguzi wa wazi na usiogemea upande wowote juu ya mashambulizi ya anga ya hivi karibuni ya muungano wa kijeshi wa Marekani dhidi ya wakazi wa mkoa wa Dayr al-Zawr, mashariki mwa nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Syria yasisitiza kuwa itaendelea kuimarisha uhusiano wake wa kiuchumi na Iran
Oct 20, 2018 12:20Katibu Mkuu wa Umoja wa Wafanyabiashara wa Syria amesema kuwa, kuna haja ya kuondolewa vizuizi vyote hata vidogo vidogo katika juhudi za kuimarisha uhusiano wa pande zote wa kiuchumi baina ya nchi mbili ndugu za Iran na Syria.