Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Syria

  • Jeshi la Syria lakomboa maeneo muhimu ya mji wa kaskazini wa Hama; magaidi 1,600 waangamizwa

    Jeshi la Syria lakomboa maeneo muhimu ya mji wa kaskazini wa Hama; magaidi 1,600 waangamizwa

    Dec 04, 2024 09:27

    Jeshi la Syria limeripoti kuwa limesafisha maeneo yote ya mji wa kaskazini wa Hama na kuwafurusha magaidi wa kitakfiri katika maeneo hayyo.

  • Vikosi vya anga vya Syria na Russia vyafanya mashambulio makubwa zaidi tangu kuibuka tena ugaidi

    Vikosi vya anga vya Syria na Russia vyafanya mashambulio makubwa zaidi tangu kuibuka tena ugaidi

    Dec 04, 2024 03:48

    Jeshi la anga la Syria na la washirika wake wa Russia yamefanya mashambulizi makali zaidi dhidi ya kambi na mikusanyiko ya magaidi hao wa kitakfiri wanaoungwa mkono na mataifa ya kigeni tangu hujuma za magaidi zilipoibuka upya kaskazini mwa nchi hiyo ya Kiarabu.

  • Al Mayadeen: Wanajeshi wa Ukraine wanashirikiana na magaidi huko Syria

    Al Mayadeen: Wanajeshi wa Ukraine wanashirikiana na magaidi huko Syria

    Dec 03, 2024 08:42

    Duru za habari za Syria zimetangaza kuwa wanajeshi wa Ukraine wanashirikiana na magaidi dhidi ya serikali ya syria.

  • Rais Pezeshkian: Kambi ya Muqawama itashinda njama za magaidi

    Rais Pezeshkian: Kambi ya Muqawama itashinda njama za magaidi

    Dec 02, 2024 23:21

    Rais Masoud Pezeshkian wa Iran amesema kuwa, Tehran iko tayari kuboresha ushirikiano na Syria ili kuondokana na mgogoro unaoendelea katika nchi hiyo ya Kiarabu baada ya magenge ya kigaidi kuanzisha wimbi jipya la mashambulizi yao ya kikatili.

  • Cuba: Tuko pamoja na wananchi na serikali ya Syria

    Cuba: Tuko pamoja na wananchi na serikali ya Syria

    Dec 02, 2024 09:11

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Cuba ametangaza kuwa nchi hiyo inatangaza mshikamano wake na iko pamoja na wananchi na serikali ya Syria kufuatia kushtadi hujuma za karibuni za makundi ya kigaidi katika ardhi ya Syria.

  • Araghchi: Matukio ya Syria ni sehemu ya njama za Wamarekani na Wazayuni dhidi ya eneo

    Araghchi: Matukio ya Syria ni sehemu ya njama za Wamarekani na Wazayuni dhidi ya eneo

    Dec 02, 2024 03:53

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza katika mazungumzo yake na Rais Bashar al-Assad wa Syria mjini Damascus, kwamba matukio ya Syria ni sehemu ya njama za Wazayuni na Wamarekani dhidi ya eneo la Asia Magharibi.

  • Jeshi la Syria lajiandaa kufanya mashambulio makali dhidi ya makundi ya kigaidi

    Jeshi la Syria lajiandaa kufanya mashambulio makali dhidi ya makundi ya kigaidi

    Dec 01, 2024 03:09

    Kamandi Kuu ya Jeshi na Vikosi vya Ulinzi vya Syria imetangaza kuwa nchi hiyo imeshajiweka tayari kufanya mashambulizi makali dhidi ya makundi ya kigaidi.

  • Mgombea urais wa chama kikuu cha upinzani Namibia: Hatutayakubali matokeo ya uchaguzi

    Mgombea urais wa chama kikuu cha upinzani Namibia: Hatutayakubali matokeo ya uchaguzi

    Dec 01, 2024 02:43

    Mgombea mkuu wa urais wa upinzani nchini Namibia, Panduleni Itula, amesema chama chake hakitatambua matokeo ya uchaguzi uliokumbwa na utata wa kuongezewa muda wa upigaji kura na kutawaliwa na fujo na madai ya uchakachuaji.

  • Mkuu wa Ofisi ya Haki za Binadamu ya UN: Miezi 13 ya vita imeifanya Ghaza kuwa jehanamu

    Mkuu wa Ofisi ya Haki za Binadamu ya UN: Miezi 13 ya vita imeifanya Ghaza kuwa jehanamu

    Nov 30, 2024 03:39

    Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa katika ofisi ya Ukanda wa Ghaza (OHCHR) unaokaliwa kwa mabavu Ajith Sunghay amesema miezi 13 ya vita imeufanya Ukanda huo kuwa kama jehanamu, kwani kuna uharibifu usio na kifani, njaa isiyoelezeka, maradhi na mwendelezo wa mashambulizi ya mabomu yanayowatawanya raia kila uchao.

  • Magaidi wa kitakfiri 400 waangamizwa Syria

    Magaidi wa kitakfiri 400 waangamizwa Syria

    Nov 29, 2024 03:44

    Kituo cha Russia cha Hmeimim cha Maridhiano ya Kitaifa nchini Syria kimetangaza kuwa magaidi wa kitakfiri wa 400 wa kundi la Jabhatu-Nusra wameangamizwa baada ya kushambulia makao makuu ya jeshi la Syria huko Idlib na Aleppo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS