-
Assad: Vikosi vya Israel na Uturuki vilivyoko Syria ni vamizi
Jun 14, 2018 03:26Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema vikosi vya utawala wa Kizayuni wa Israel, Uturuki, Marekani na Ufaransa vilivyoko nchi humo ni vikosi vamizi.
-
Mashambulizi mapya ya anga ya US yaua raia 12 nchini Syria
Jun 12, 2018 23:27Mashambulizi mapya ya anga yaliyofanywa na ndege za kijeshi za Marekani yameua raia wasiopungua 12 na kujeruhi wengine wengi katika mkoa wa Hasakah, kaskazini mashariki mwa Syria.
-
Rais Assad: Wanajeshi wa Marekani na Uingereza ni wavamizi nchini Syria
Jun 10, 2018 03:22Rais Bashar al Assad wa Syria amesema kuwa, madola ya Magharibi hayawezi kuiainishia nchi hiyo mustakbali wake na kusisitiza kuwa, wanajeshi wa Uingereza na Marekani walioko nchini humo ni wavamizi.
-
Spika wa Lebanon: Kama Hizbullah isingekwenda Syria, Daesh ingefika hadi ndani ya ardhi yetu
Jun 07, 2018 11:02Spika wa Bunge la Lebanon amesema, laiti kama Hizbullah isingekuweko Syria, magaidi wa kundi la ukufurishaji la Daesh (ISIS) wangekuwa wameshafika ndani ya ardhi ya Lebanon.
-
Imarati yakiri kwamba lilikuwa kosa kuiondoa Syria Arab League
Jun 07, 2018 02:55Waziri wa Mambo ya Nje wa Imarati amekiri wazi kwamba maamuzi ya kuiondoa Syria katika Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) yalikuwa makosa makubwa.
-
Magaidi wazidi kuuana nchini Syria baada ya tofauti zao za kimaslahi kushtadi
Jun 02, 2018 22:13Kwa mara nyingine makundi ya kigaidi na ukufurishaji nchini Syria yameshambuliana na kusababisha kuuawa na kujeruhiwa idadi kadhaa miongoni mwao, baada ya kushtadi tofauti zao.
-
Walid Muallem: Madai ya Israel kwamba Iran ina kambi za kijeshi nchini Syria, ni uongo mkubwa
Jun 02, 2018 09:25Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria Walid Muallem, amesema kuwa washauri wa kijeshi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran walioko Syria waliingia nchi hiyo kwa mwaliko maalumu wa serikali ya nchi hiyo na uwepo wao huo ni wa kisheria.
-
Sisitizo la Bashar Asad la kuondoka askari wa Marekani katika ardhi ya Syria
Jun 01, 2018 23:25Akizungumza hapo siku ya Alkhamisi na televisheni ya Rusia al-Yaum, Rais Bashar Asad wa Syria ameashiria nafasi hasi na ya kichochezi ya Marekani katika mgogoro wa nchi hiyo na kutaka askari wake waondoke mara moja katika ardhi ya nchi hiyo.
-
Muungano wa kijeshi wa Marekani wakiri kuua raia 892 wa Syria na Iraq
Jun 01, 2018 03:13Muungano wa kimataifa unaoongozwa na Marekani wa eti kupambana na kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) umekiri kupitia ripoti uliyotoa hapo jana kuwa tangu yalipoanza mashambulio ya anga ya muungano huo mwaka 2014 hadi sasa raia 892 wameuawa katika nchi za Syria na Iraq.
-
Rais wa Syria: Tusi la 'hayawani' alilotumia Trump linamaanisha hakika ya yeye mwenyewe
May 31, 2018 03:02Rais Bashar Al-Assad wa Syria amesema kuhusu lugha ya matusi aliyotumia rais wa Marekani kuhusiana na yeye kwamba: Maneno hayo yanadhihirisha shakhsia ya Trump; na ni mtu wa aina yake yeye tu ndiye anayetarajiwa kutumia lugha ya aina hiyo.