Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Syria

  • Magaidi wa Syria waendelea kuuana wakigombea maslahi

    Magaidi wa Syria waendelea kuuana wakigombea maslahi

    May 27, 2018 23:47

    Mapigano yameendelea kati ya makundi ya kigaidi na ukufurishaji katika mkoa wa Idlib, Syria ambapo sasa wanatumia magari yaliyotegwa mabomu kushambuliana.

  • Kuakisiwa Uenyekiti wa Syria katika kongamano la kimataifa la kutokomeza silaha

    Kuakisiwa Uenyekiti wa Syria katika kongamano la kimataifa la kutokomeza silaha

    May 27, 2018 06:56

    Licha ya upinzani mkubwa wa Marekani na utawala wa Kizayuni, Syria imekabidhiwa uenyekiti wa mwezi mmoja wa kongamano la utokomezaji silaha kimataifa lililo chini ya Umoja wa Mataifa.

  • Magaidi wakufurishaji wabomoa makaburi katika kusaka mali na dhahabu Afrin, Syria

    Magaidi wakufurishaji wabomoa makaburi katika kusaka mali na dhahabu Afrin, Syria

    May 25, 2018 21:51

    Magaidi wakufurishaji nchini Syria wamevamia makaburi ya shakhsia wa kidini na wanaoheshimiwa wa mji wa Afrin katika kusaka mali na dhahabu ndani ya makaburi hayo.

  • Kurejeshwa usalama kamili Damascus na katika viunga vyake; mafanikio mengine ya Syria dhidi ya magaidi

    Kurejeshwa usalama kamili Damascus na katika viunga vyake; mafanikio mengine ya Syria dhidi ya magaidi

    May 23, 2018 01:45

    Kamandi Kuu ya jeshi na vikosi vya ulinzi vya Syria imetangaza kuwa baada ya kufurushwa magaidi wote katika eneo la Hajarul-Aswad na kwenye kambi ya Yarmuk, amani na usalama kamili umerejea katika mji mkuu wa nchi hiyo Damascus na vitongoji vyake.

  • Silaha za magaidi zilizoundwa katika nchi wanachama wa Nato zanaswa Syria

    Silaha za magaidi zilizoundwa katika nchi wanachama wa Nato zanaswa Syria

    May 21, 2018 09:52

    Vyombo vya habari vya Russia vimeripoti kuwa shehena ya silaha za magaidi zimenaswa katika mkoa wa Homs nchini Syria; silaha ambazo imebainika kuwa ziliundwa katika nchi wanachama wa Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi (Nato).

  • Syria: Tunairuhusu Iran kuweza kuendesha shughuli zake katika hatua ya ukarabati wa nchi

    Syria: Tunairuhusu Iran kuweza kuendesha shughuli zake katika hatua ya ukarabati wa nchi

    May 18, 2018 03:33

    Waziri Mkuu wa Syria amekutana mjini Damascus na Abbas Ahmad Akhoundi, Waziri wa Barabara, Makazi na Ujenzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kusisitiza kuwa, nchi yake imejiandaa Iran kila aina ya suhula na kuondoa vizuizi kwa ajili ya kuiwezesha Tehran kushiriki katika awamu ya ukarabati wa nchi hiyo

  • Jeshi la Syria lafanikiwa kudhibiti barabara zote za mawasiliano za nchi hiyo

    Jeshi la Syria lafanikiwa kudhibiti barabara zote za mawasiliano za nchi hiyo

    May 18, 2018 03:26

    Sambamba na kuondoka magaidi eneo la kaskazini mwa mkoa wa Homs na kusini mwa mkoa wa Hama na kadhalika kufunguliwa barabara ya mkoa wa Homs kuelekea Damascus, mji mkuu wa Syria, jeshi la serikali limefanikiwa kudhibiti barabara zote zinazoiunganisha nchi hiyo.

  • Majibu makali ya Russia kwa vikwazo vipya vya Marekani

    Majibu makali ya Russia kwa vikwazo vipya vya Marekani

    May 12, 2018 02:38

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia imetoa tamko kali la kujibu vikwazo vipya vya Marekani dhidi yake na kusema kuwa, vikwazo hivyo vya serikali ya Donald Trump dhidi ya Moscow vinatokana na hamaki za Washington za kushindwa mashambulizi yake ya tarehe 14 Aprili nchini Syria.

  • Mtaalamu wa masuala ya kijeshi: Jeshi la Syria limeuchorea mstari mwekundu utawala wa Kizayuni

    Mtaalamu wa masuala ya kijeshi: Jeshi la Syria limeuchorea mstari mwekundu utawala wa Kizayuni

    May 11, 2018 03:31

    Mtaalamu wa masuala ya kistratijia na kijeshi Profesa Oun al-Himsi, amesema kuwa hatua ya jeshi la Syria kuvishambulia kwa makombora vituo vya kijeshi vya utawala haramu wa Israel katika miinuko ya Golan sambamba na kuvunja ngao ya kiulinzi ya utawala huo, imebadili kikamilifu mlingano wa nguvu na kwamba jeshi la Syria limechora mstari mwekundu kuhusu chokochoko za Israel dhidi yake.

  • Rais Assad: Kazi pekee ya Marekani Syria ni kuwasaidia magaidi wa ISIS

    Rais Assad: Kazi pekee ya Marekani Syria ni kuwasaidia magaidi wa ISIS

    May 10, 2018 23:18

    Rais Bashar al Assad wa Syria amesema kazi pekee ya Marekani nchini Syria ni kuwasaidia magaidi wakufurishaji wa ISIS au Daesh.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS