Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Syria

  • Jeshi la Syria latoa jibu kali kwa chokochoko za Israel, Wazayuni wapatwa na kiwewe

    Jeshi la Syria latoa jibu kali kwa chokochoko za Israel, Wazayuni wapatwa na kiwewe

    May 10, 2018 02:49

    Jeshi la Syria limetoa jibu kali kwa chokochoko za utawala haramu wa Israel kwa kushambulia kwa makombora maeneo ya utawala huo yaliyo katika miinuko ya Golan nchini Syria.

  • Israel yatangaza hali ya hatari, nao muqawama wa Palestina wasema wataingia vitani kuisaidia Syria

    Israel yatangaza hali ya hatari, nao muqawama wa Palestina wasema wataingia vitani kuisaidia Syria

    May 10, 2018 02:37

    Jeshi la Israel limetangaza hali ya hatari katika ardhi za Palestina unazozikalia kwa mabavu kufuatia jibu kali la mashambulizi ya jeshi la Syria lililoyalenga maeneo muhimu yakiwemo maeneo ya kijeshi ya utawala huo.

  • Tofauti na mapigano katika safu ya magaidi nchini Syria

    Tofauti na mapigano katika safu ya magaidi nchini Syria

    May 06, 2018 06:06

    Sambamba na kusonga mbele jeshi la Syria kwa kushirikiana na muqawama, watetezi wa haki za binaadamu nchini humo wameelezea kuanza mapigano kati ya makundi mawili ya wabeba silaha na yanayoungwa mkono na Marekani kaskazini mwa mkoa wa Idlib, kaskazini magharibi mwa nchi hiyo.

  • Msalaba Mwekundu: Takribani nusu ya hospitali za Yemen zimebomolewa

    Msalaba Mwekundu: Takribani nusu ya hospitali za Yemen zimebomolewa

    May 05, 2018 22:04

    Shirika la Kimataifa la Msalaba Mwekundu (ICRC) limetangaza kuwa, katika kipindi cha miaka miwili iliyopita zaidi ya mashambulio 1,200 yametekelezwa dhidi ya hospitali, vifaa vya tiba na timu za watoaji huduma za matibabu katika maeneo mbalimbali duniani hususan nchini Yemen.

  • Jeshi la Syria lanasa silaha za Israel ilizowapa magaidi wakufurishaji

    Jeshi la Syria lanasa silaha za Israel ilizowapa magaidi wakufurishaji

    May 04, 2018 09:16

    Jeshi la Syria limepata idadi kubwa ya silaha, zikiwemo za kemikali, ambazo utawala haramu wa Israeli, ulikuwa umewapa magaidi wakufurishaji nchini humo.

  • Misri: Inawezekana kutuma nchini Syria vikosi vya Kiarabu

    Misri: Inawezekana kutuma nchini Syria vikosi vya Kiarabu

    May 04, 2018 09:04

    Misri imesema kuwa mazungumzo yanaendelea kufanyika baina ya maafisa wa nchi kadhaa kujadili pendekezo la Marekani la kuunda jeshi la Kiarabu litakalochukua nafasi ya wanajeshi wa Marekani waliopo Syria.

  • Muungano wa Marekani wafanya maauaji mengine ya umati nchini Syria

    Muungano wa Marekani wafanya maauaji mengine ya umati nchini Syria

    May 03, 2018 23:40

    Muungano wa kijeshi unaoongozwa na Marekani ambao unadai kupambana na magaidi wa Daeshi (ISIS) nchini Syria umefanya mauaji mengine ya umati dhidi ya raia wa mashariki mwa nchi hiyo ya Kiarabu.

  • Boroujerdi: Kama vikwazo dhidi ya Iran vitarejeshwa hakutakuwa na haja ya kuendelea na JCPOA

    Boroujerdi: Kama vikwazo dhidi ya Iran vitarejeshwa hakutakuwa na haja ya kuendelea na JCPOA

    May 02, 2018 21:17

    Mkuu wa Kamati ya Usalama wa Taifa na Siasa za Kigeni ya Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema kuwa, kama vikwazo vitarejeshwa, hakutakuwa na kitu chochote cha kuweza kuwakinaisha wananchi, Serikali na Bunge la Iran na kuwafanya wakubali kuendelea kuwemo katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA.

  • Makumi ya magaidi nchini Syria wajisalimisha

    Makumi ya magaidi nchini Syria wajisalimisha

    Apr 29, 2018 22:10

    Makumi ya magaidi nchini Syria wameripotiwa kujisalimisha kwa jeshi la nchi hiyo ikiwa ni kuzidi kupata pigo magaidi hao na waungaji mkono wao.

  • Zarif:  Mchakato wa Astana ndio njia pekee ya kupatikana amani endelevu Syria

    Zarif: Mchakato wa Astana ndio njia pekee ya kupatikana amani endelevu Syria

    Apr 28, 2018 23:24

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Mohammad Javad Zarif amesema Mchakato wa Amani wa Astana hivi sasa ni harakati pekee ambayo kwa ushirikiano na Umoja wa Mataifa na wengine inaweza kupelekea kupatikana amani adilifu na endelevu nchini Syria.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS