Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Syria

  • Russia: Madai mapya ya USA ya silaha za kemikali dhidi ya Syria, ni vita ya kisaikolojia dhidi ya Damascus

    Russia: Madai mapya ya USA ya silaha za kemikali dhidi ya Syria, ni vita ya kisaikolojia dhidi ya Damascus

    Jul 02, 2017 23:42

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesema kuwa, madai mapya ya Marekani kulilenga jeshi la Syria kwamba, limetumia silaha za kemikali katika viunga vya mji wa Damascus, ni vita vya kisaikolojia na propaganda tu dhidi ya nchi hiyo ya Kiarabu.

  • Radiamali ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Syria kwa milipuko ya kigaidi ya Damascus

    Radiamali ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Syria kwa milipuko ya kigaidi ya Damascus

    Jul 02, 2017 10:24

    Wizara ya Mambo ya Ndani ya Syria imesema kuwa, itakabiliana vikali na magaidi watenda jinai na imewatolea wito wananchi kushirikiana zaidi na vyombo vya usalama vya nchi hiyo ili kuwatambua magaidi.

  • Chokochoko mpya za Marekani dhidi ya Syria

    Chokochoko mpya za Marekani dhidi ya Syria

    Jun 30, 2017 09:03

    Sambamba na kuanza mchezo mpya wa White House dhidi ya Syria, vyombo vya habari vya nchi hiyo vimetangaza habari ya ndege za kivita za Marekani kushambulia mji wa Deir ez-Zor mashariki mwa nchi hiyo ambapo zimeua makumi ya wanawake na watoto katika eneo hilo.

  • Russia: Marekani inataka kuikalia kwa muda mrefu nchi ya Syria

    Russia: Marekani inataka kuikalia kwa muda mrefu nchi ya Syria

    Jun 30, 2017 03:46

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia ametangaza kuwa, Marekani imeazimia kubakia Syria kwa muda mrefu kwa kutumia visingizio mbalimbali.

  • Syria yagundua ghala kubwa la silaha za Israel katika maficho ya magaidi mkoani Homs

    Syria yagundua ghala kubwa la silaha za Israel katika maficho ya magaidi mkoani Homs

    Jun 29, 2017 10:51

    Jeshi la Syria limegundua ghala kubwa la silaha za kila namna za utawala wa Kizayuni wa Israel katika maficho ya magaidi kwenye wilaya ya al Wa'er mkoani Homs.

  • Ujerumani: Ni lazima kushirikiana na Assad ili kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Syria

    Ujerumani: Ni lazima kushirikiana na Assad ili kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Syria

    Jun 29, 2017 02:54

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani amesisitiza kuwa ni lazima kushirikiana na serikali ya Rais Bashar Assad wa Syria ili kuupatia ufumbuzi mgogoro wa nchi hiyo.

  • Kuakisiwa kimataifa mafanikio ya jeshi la Syria dhidi ya magaidi

    Kuakisiwa kimataifa mafanikio ya jeshi la Syria dhidi ya magaidi

    Jun 29, 2017 02:51

    Mjumbe maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Syria amesema katika kikao cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kwamba, kundi la kigaidi la Daesh limo katika hali ya kurejea nyuma kufuatia mashinikizo ya jeshi la Syria.

  • Iran: Uvamizi wowote wa Marekani nchini Syria utahatarisha usalama wa eneo hili zima

    Iran: Uvamizi wowote wa Marekani nchini Syria utahatarisha usalama wa eneo hili zima

    Jun 28, 2017 10:50

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, uvamizi wowote ule wa Marekani nchini Syria hautakuwa na matunda mengine isipokuwa kuzidi kuhatarisha tu usalama wa eneo la Asia Magharibi na kuwasaidia magaidi ambao wamekaribia kuangamizwa kikamilifu nchini Syria.

  • Mkuu wa mrengo wa upinzani Syria akiri nchi hiyo inakabiliwa na njama nyingi chafu

    Mkuu wa mrengo wa upinzani Syria akiri nchi hiyo inakabiliwa na njama nyingi chafu

    Jun 27, 2017 21:53

    Msemaji wa zamani wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria aliyejiunga na wapinzani wa serikali miaka michache iliyopita, sambamba na kutangaza kuachana na shughuli za siasa amekiri kwamba kuna njama chafu zinazofanywa dhidi ya nchi hiyo.

  • Propaganda za kitoto za Marekani dhidi ya Syria

    Propaganda za kitoto za Marekani dhidi ya Syria

    Jun 27, 2017 21:44

    Mapema jana asubuhi, Ikulu ya Marekani (White House) ilitoa tamko lisilo na mashiko ikidai kuwa serikali ya Syria ina nia ya kufanya shambulio la silaha za kemikali.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS