-
"Mgogoro wa Taiwan kuziingiza China na Marekani kwenye Vita vya Tatu vya Dunia"
Oct 12, 2021 02:33Kiongozi mmoja mwandamizi wa Bunge la Russia amesema kuwa, ugomvi uliopo hivi sasa bina ya Marekani na China kuhusu Taiwan unaweza kuzusha mapigano ya kijeshi baina ya nchi hizo mbili na hata kupelekea kuzuka Vita vya Tatu vya Dunia.
-
China: Marekani inahatarisha amani kwenye langobahari la Taiwan, mapigano yanaweza kutokea
May 19, 2021 06:04China imekosoa harakati za kichochezi zinazofanywa na Marekani katika langobahari la Taiwan na kueleza kwamba, kuweko manowari ya Marekani katika eneo hilo kunahatarisha amani na uthabiti katika njia hiyo ya baharini ya maji ya kimataifa.
-
Ajali mbaya ya treni yaua na kujeruhi watu 108 nchini Taiwan
Apr 02, 2021 14:16Watu 108 wameuawa na kujeruhiwa katika ajali ya treni iliyotokea mashariki ya kisiwa cha Taiwan
-
China yatoa onyo kali: Taiwan kuwa nchi huru maana yake ni "kutangaza vita"
Jan 29, 2021 13:00China imetumia lugha kali zaidi katika kuamiliana na Taiwan kwa kuonya kuwa, kisiwa hicho kujitangazia uhuru ni sawa na kutangaza vita na kwamba vikosi vya jeshi la nchi hiyo vimesha jiweka tayari kuchukua hatua dhidi ya uchochezi na uingiliaji wa kigeni.
-
Taiwan; mstari mwekundu wa China
Sep 19, 2020 06:49Ijumaa ya jana tarehe 18 Septemba, jeshi la China lilianza kufanya luteka ya kijeshi jirani na Taiwan katika kipindi hiki cha anga ya mzozo na mvutano baina ya Beijing na Taipei.
-
Safari ya waziri wa Marekani Taiwan; kuongezeka mvutano kati ya China na Marekani
Aug 10, 2020 11:01Licha ya upinzani mkali wa China, Waziri wa Afya na Huduma za Kibinadamu wa Marekani jana Jumapili alifanya safari huko Taiwan akiwa ameandamana na ujumbe wa ngazi za juu wa nchi hiyo.
-
China: Marekani isicheze na moto katika kadhia ya Taiwan
Jul 12, 2019 15:38Waziri wa Mambo ya Nje wa China ameionya vikali Marekani isijaribu kucheza na moto kuhusiana na suala la Taiwan, huku akikosoa vikali mpango wa Washington wa kukiuzia silaha kisiwa hicho ambacho Beijing inasisitiza kuwa ni milki yake.
-
Marekani kuiuzia Taiwan silaha za kijeshi za dola milioni 330
Sep 25, 2018 08:11Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) imesema serikali ya Washington imeidhinisha mauzo ya silaha za kijeshi kwa Taiwan yenye thamani ya dola milioni 330.
-
eSwatini (Swaziland) kutokata uhusiano na Taiwan licha ya mashinikizo ya China
Jun 02, 2018 04:08Jamhuri ya eSwatini (Swaziland) imesisitiza kuwa haitakata uhusiano wake wa kidiplomasia na Taiwan licha ya mashinikizo ya kila upande kutoka China.
-
Baada ya kuitelekeza Taiwan, Burkina Faso yaanzisha uhusiano wa kidiplomasia na China
May 26, 2018 15:24China na Burkina Faso zimeanzisha uhusiano rasmi wa kidiplomasia baada ya nchi hiyo ya Afrika Magharibi kuvunja uhusiano wake na Taiwan, ukiwa ni ushindi mwingine kwa Beijing inayoendelea kutoa mashinikizo kwa serikali ya Taipei.