-
Kujiuzulu Mullah Mohammad Hassan Akhund Mkuu wa serikali ya Taliban ya Afghanistan, na kuteuliwa mrithi wake
May 19, 2023 01:36Duru za Afghanistan zimetangaza kuwa Mullah Mohammad Hassan Akhund aliyekuwa Waziri Mkuu wa serikali ya Taliban nchini humo amejiuzulu wadhifa huo na tayari mrithi wake ameteuliwa.
-
Umoja wa Mataifa kujadili na kuamua kuhusu uhalali wa utawala wa Taliban
Apr 19, 2023 05:54Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametangaza kuwa: taasisi hiyo itachunguza upya suala la uhalali wa serikali ya Taliban nchini Afghanistan ndani ya kipindi cha wiki mbili zijazo.
-
Msimamo wa Umoja wa Mataifa kwa marufuku waliyowekewa wanawake wa Afghanistan wasihudumu katika ofisi za umoja huo
Apr 08, 2023 03:00Umoja wa Mataifa umefunga ofisi zake zote nchini Afghanistan masaa 48 baada ya serikali ya Taliban kuwapiga marufuku wanawake kufanya kazi katika ofisi ya Umoja wa Mataifa mkoani Nangarhar.
-
Taliban: Waafghani ndio walengwa wakuu wa mashambulio ya DAESH (ISIS)
Mar 28, 2023 11:42Naibu Waziri Mkuu wa serikali ya mpito ya Taliban anayehusika na masuala ya kisiasa amesema, wananchi wa Afghanistan ndio walengwa wakuu wa hujuma na mashambulio ya kundi la kigaidi la DAESH (ISIS).
-
Onyo la Putin kuhusu kukithiri kwa vitisho vya kigaidi nchini Afghanistan
Feb 12, 2023 02:34Rais wa Russia, Vladimir Putin amesema kwamba: "Tishio la ugaidi limeongezeka baada ya Marekani kuondoka Afghanistan."
-
Hassan Qomi: Iran inashirikiana na serikali ya muda ya Taliban nchini Afghanistan
Jan 12, 2023 04:17Mjumbe Maalumu wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Masuala ya Afghanistan ameeleza kuwa: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inashirikiana na serikaliya muda ya Taliban katika nyanja mbalimbali ikiwemo nyanja ya kiuchumi kwa kuzingatia siasa za kuwasaidia wananchi wa Afghanistan.
-
Taliban: Mauaji aliyofanya mwanamfalme wa Uingereza Afghanistan ni "uhalifu wa kivita"
Jan 07, 2023 07:19Kufuatia kauli ya mwanamfalme wa Uingereza Harry, ya kuungama kwamba aliua Waafghani 25 wakati wa vita nchini Afghanistan, maafisa wa serikali ya Taliban wametangaza kuwa hatua hiyo ya mwanamfalme huyo wa Uingereza ni uhalifu wa kivita.
-
Al-Azhar yasema Taliban imekiuka sheria za Kiislamu kwa kuzuia wanawake kusoma vyuo vikuu
Dec 24, 2022 07:02Sheikhe Mkuu wa Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar cha Misri ameutaka utawala wa Taliban kuondoa marufuku ya elimu ya juu kwa wanawake nchini Afghanistan.
-
Umoja wa Mataifa na kutotoa kiti kwa serikali ya Taliban
Dec 17, 2022 11:29Umoja wa Mataifa umepuuza na kutupilia mbali takwa la serikali ya Taliban na hivyo kwa mara nyingine tena kukikabidhi kiti cha uwakilishi wa Afghanistan katika umoja huo kwa Nasir Ahmad Faiq Mwakilishi wa Kudumu wa Afghanistan katika Umoja wa Mataifa.
-
Kukaribia kumalizika muhula wa serikali ya muda ya Taliban nchini Afghanistan
Nov 08, 2022 02:27Msemaji wa serikali ya muda ya Taliban nchini Afghanistan amesema kipindi cha uongozi wa serikali hiyo kitamalizika baada ya muda si mrefu ujao.