-
IMF: Uchumi wa Tanzania utadhoofika kutokana na sera za serikali
Apr 19, 2019 03:38Mfuko wa Fedha wa Kimataifa (IMF) umetahadharisha kuwa, uchumi wa Tanzania utadhoofika iwapo sera za sasa na sheria mpya zitaendelea kutekelezwa.
-
Fatma Karume: Bunge la Tanzania lilizingatia maana gani ya neno ‘Dhaifu’ la profesa Assad?
Apr 15, 2019 08:58Mwanasheria maarufu nchini Tanzania Fatma Karume amekosoa hoja ya Spika wa Bunge la nchi hiyo aliyesema kuwa bunge hilo halitofanya kazi na CAG na kwamba badala yake litafanya kazi na ofisi yake na kuongeza kuwa, katika katiba ya nchi hiyo mwanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, hakuna mahala panaposema kwamba ‘kuna ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).’
-
CAG wa Tanzania: Tutaendelea kutumia neno 'Dhaifu' katika ripoti zetu
Apr 10, 2019 12:05Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) nchini Tanania, Profesa Mussa Assad amesema kuwa, wataendelea kutumia neno 'dhaifu' katika maeneo tofauti ya ukaguzi wao kulingana na taratibu za kazi hiyo zilivyo na kwamba hata ripoti aliyoiwasilisha leo pia ina neno dhaifu.
-
Wasomi Tanzania: Bunge limewasaliti wananchi kwa kutoshirikiana na CAG
Apr 03, 2019 11:47Baada ya Bunge kuazimia kutoshirikiana na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali nchini Tanzania, mhadhiri msaidizi wa Chuo Kikuu cha Tumaini jijini Dar es salaam (TUDARCO) Danford Kitwana amesema kitendo hicho cha bunge ni kuwasaliti wananchi wake.
-
Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Tanzania alionya Bunge
Apr 03, 2019 10:26Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Tanzania, Profesa Mussa Juma Assad ametahadharisha kuhusu matokeo mabaya ya hatua ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya kupasisha azimio la kutofanya kazi naye.
-
Hatimaye bunge la Tanzania lapitisha azimio la kutofanya kazi na CAG, wapinzani wakataa
Apr 02, 2019 09:42Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepitisha azimio la kutofanya kazi na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad.
-
Maalim Seif: Inaniuma kukihama Chama cha Wananchi Tanzania CUF
Apr 01, 2019 10:43Kinara wa siasa za upinzani visiwani Zanzibar na pia mwanachama namba moja wa chama cha ACT-Wazalendo nchini Tanzania, Maalim Seif Sharif Hamad amesema hatua yake ya kuondoka katika Chama cha Wananchi (CUF) imeacha majonzi moyoni mwake.
-
SAUTI, Rais Mstaafu wa Tanzania Dr Jakaya Kikwete, aipongeza Shia Ithna Asharia JAMAT kwa kupambana na maradhi ya Usonji
Mar 31, 2019 11:28Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne nchini Tanzania Dr Jakaya Mrisho Kikwete, ameongoza mamia ya Watanzania katika matembezi ya kuadhimisha siku ya utokomezaji wa maradhi ya usonji duniani jijini Dar es Salaam.
-
Mahakama EACJ yaitaka Tanzania kuondoa vifungu kandamizi katika Sheria Ya Vyombo Vya Habari
Mar 28, 2019 10:43Mahakama ya Afrika Mashariki (EACJ) imekipa ushindi Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Baraza la Habari Tanzania (MCT) pamoja na Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) dhidi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika kesi Namba 2 ya mwaka 2017 ya kupinga vifungu kandamizi katika Sheria ya Huduma za Vyombo vya Habari, 2016.
-
Maalim Seif: Ndugu yangu Magufuli jiulize je, unatenda haki? Kumbuka utaenda kujibu kwa Mungu
Mar 27, 2019 11:52Mwanachama namba moja wa chama kidogo cha upinzani nchini Tanzania, ACT-Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad amemtupia lawama Rais John Pombe Magufuli wa nchi hiyo kwamba hatendi haki kwa vyama vya siasa vya upinzani. Maalim Seif ameyasema hayo leo akielezea hatua ya jeshi la polisi kuzuia mkutano wa chama hicho eneo la Temeke ambapo kilikuwa kimepanga kuwapatia kadi wanachama wapya 12, 600 na kulazimika kusitisha zoezi hilo.