Wasomi Tanzania: Bunge limewasaliti wananchi kwa kutoshirikiana na CAG
Apr 03, 2019 11:47 UTC
Baada ya Bunge kuazimia kutoshirikiana na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali nchini Tanzania, mhadhiri msaidizi wa Chuo Kikuu cha Tumaini jijini Dar es salaam (TUDARCO) Danford Kitwana amesema kitendo hicho cha bunge ni kuwasaliti wananchi wake.
CAG Profesa Mussa Juma Assad ametahadharisha kuhusu matokeo mabaya ya hatua ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya kupasisha azimio la kutofanya kazi naye.
Mwandishi wetu wa Dar es Salaam, Ammar Dachi ana maelezo zaidi.......
Tags