Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Tanzania

  • Mfanyabiashara mkubwa Tanzania na Afrika Mohammed Dewji, atekwa nyara na wazungu jijini Dar es Salaam

    Mfanyabiashara mkubwa Tanzania na Afrika Mohammed Dewji, atekwa nyara na wazungu jijini Dar es Salaam

    Oct 11, 2018 09:16

    Mfanyabiashara mkubwa wa Tanzania na Afrika Mohammed Dewji maarufu kwa jina la ‘MO’, ametekwa nyara asubuhi ya leo na kupelekwa kusikojulikana.

  • Waziri wa Nchi Tanzania: Rais Magufuli hakukusudia kupiga marufuku uzazi wa mpango

    Waziri wa Nchi Tanzania: Rais Magufuli hakukusudia kupiga marufuku uzazi wa mpango

    Oct 09, 2018 13:03

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) nchini Tanzania, Seleman Jafo amesema kuwa, wataalamu wa masuala ya afya wa nchi hiyo walitakiwa kuwafafanulia wananchi kauli ya Rais John Pombe Magufuli pale alipotaka Watanzania wasizuiwe kuzaa watoto.

  • Magufuli aamuru kuundwa kivuko kingine Ukerewe baada ya kile cha MV Nyerere kuzama

    Magufuli aamuru kuundwa kivuko kingine Ukerewe baada ya kile cha MV Nyerere kuzama

    Sep 24, 2018 10:53

    Rais John Pombe Magufuli wa Tanzania ameamuru kuundwa kivuko kipya katika wilaya ya Ukerewe mkoani Mwanza, baada ya kutokea ajali ya kuzama kivuko cha MV Nyerere na kusababisha maafa.

  • Manusura wa ajali ya kivuko Tanzania: Kapteni alishughulishwa sana na simu na kusababisha ajali

    Manusura wa ajali ya kivuko Tanzania: Kapteni alishughulishwa sana na simu na kusababisha ajali

    Sep 22, 2018 13:17

    Mchori Bulola, mmoja wa watu walionusurika kwenye ajali ya kuzama kivuko cha MV Nyerere mkoani Mwanza nchini Tanzania amesema kuwa, chanzo cha ajali hiyo kilikuwa mzigo mkubwa ambao kivuko hicho kilikuwa kimeubeba.

  • Idadi ya waliofariki katika ajali ya kivuko Tanzania yapindukia 150

    Idadi ya waliofariki katika ajali ya kivuko Tanzania yapindukia 150

    Sep 22, 2018 04:16

    Idadi ya watu waliofariki katika ajali ya kivuko cha MV Nyerere kwenye ajali ya Ziwa Victoria nchini Tanzania imeongeza na kupindukia 150.

  • Iran yatuma salamu za rambirambi kwa Tanzania kufuatia ajali ya kivuko, Mwanza

    Iran yatuma salamu za rambirambi kwa Tanzania kufuatia ajali ya kivuko, Mwanza

    Sep 21, 2018 09:27

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ametuma salamu za rambirambi kwa taifa na serikali ya Tanzania kufuatia ajali ya kuzama kivuko cha MV Nyerere katika ziwa Vctoria huko kaskazini magharibi mwa nchi hiyo.

  • Watu 94 wafariki dunia katika ajali mbaya ya kuzama kwa kivuko Mwanza, Tanzania

    Watu 94 wafariki dunia katika ajali mbaya ya kuzama kwa kivuko Mwanza, Tanzania

    Sep 20, 2018 12:24

    Watu 94 wamepoteza maisha katika ajali ya kuzama majini kivuko cha MV Nyerere kinachofanya safari zake kati ya Bugorara na kisiwa cha Ukara katika Ziwa Victoria wilayani Ukerewe mkoani Mwanza, Tanzania. 

  • Wafuasi wa Ahlul-Bayti duniani wakumbuka mauaji ya Imam Hussein (as)

    Wafuasi wa Ahlul-Bayti duniani wakumbuka mauaji ya Imam Hussein (as)

    Sep 20, 2018 11:27

    Waislamu wapenzi wa familia ya Mtume Muhammad (saw) katika nchi mbalimbali za dunia leo wameshiriki maombolezo ya siku ya Ashura, ambayo aliuawa shahidi ndani yake mjukuu wa Mtume, yaani al-Imam Hussein bin Ali (as).

  • SAUTI, Viongozi wa imani tofauti Tanzania washiriki kumbukumbu za Imamu Hussein (as) na kumtaja kuwa nembo ya ubinaadamu

    SAUTI, Viongozi wa imani tofauti Tanzania washiriki kumbukumbu za Imamu Hussein (as) na kumtaja kuwa nembo ya ubinaadamu

    Sep 20, 2018 11:22

    Viongozi wa dini mbalimbali nchini Tanzania wamejumuika pamoja katika kuenzi kumbukumbu ya siku aliyouwawa shahidi mjukuu wa Mtume Muhammad (saw) Imam Hussein (as).

  • Tanzania kupoteza wawekezaji baada ya kujitoa kwenye taasisi za kimataifa za usuluhishi

    Tanzania kupoteza wawekezaji baada ya kujitoa kwenye taasisi za kimataifa za usuluhishi

    Sep 14, 2018 02:45

    Wataalamu wanasema kuwa, uamuzi uliochukuliwa na serikali ya Tanzania wa kurekebisha sheria ya Ushirikiano wa Sekta ya Umma na Binafsi PPP na kujitoa kwenye taasisi za kimataifa za usuluhishi utawatia hofu wawekezaji, na kupelekea uhusiano wa nchi hiyo na mashirika ya fedha duniani kuwa mgumu zaidi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS