Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Tanzania

  • Serikali ya Tanzania yaamuru watoto ombaomba kukamatwa na kushtakiwa mahakamani

    Serikali ya Tanzania yaamuru watoto ombaomba kukamatwa na kushtakiwa mahakamani

    Sep 12, 2018 09:37

    Serikali ya Tanzania imetoa agizo la kukamatwa na kufikishwa mahakamani, watoto wa mitaani, maarufu kama ombaomba, kwa kutumia sharia inayozuia utoro mashuleni.

  • Watu 28 waaga dunia na kujeruhiwa katika ajali ya barabarani Tanzania

    Watu 28 waaga dunia na kujeruhiwa katika ajali ya barabarani Tanzania

    Sep 08, 2018 22:17

    Kwa akali watu 15 wamepoteza maisha na wengine 13 kujeruhiwa katika ajali mbaya ya barabarani iliyotokea katika mkoa wa Mbeya, kusini mwa Tanzania.

  • Upinzani nchini Tanzania wapinga wakurugenzi wa Tume ya uchaguzi NEC kuwa wanachama wa CCM

    Upinzani nchini Tanzania wapinga wakurugenzi wa Tume ya uchaguzi NEC kuwa wanachama wa CCM

    Sep 04, 2018 09:21

    Wabunge wa upinzani nchini Tanzania wamelalamikia hatua ya wajumbe na wasimamizi wa uchaguzi kutoka Tume ya Uchaguzi (NEC) kuwa wanachama wa chama tawala CCM.

  • Waziri wa Mambo ya Ndani Tanzania, akemea ongezeko la utumiaji nguvu wa mgambo na walimu nchini humo

    Waziri wa Mambo ya Ndani Tanzania, akemea ongezeko la utumiaji nguvu wa mgambo na walimu nchini humo

    Sep 03, 2018 09:34

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi wa Tanzania, Kangi Lugola amelaani vitendo vya utumiaji nguvu vya mgambo wa nchi hiyo hususan wa jiji la Dar es salaam na kuvitaja vitendo hivyo kuwa vya kihuni, kishenzi na kinyama.

  • LHRC: Ubakaji watoto umeongezeka Tanzania

    LHRC: Ubakaji watoto umeongezeka Tanzania

    Sep 01, 2018 09:35

    Shirika moja la haki za binadamu nchini Tanzania limesema kumeshuhudiwa ongezeko kubwa la vitendo vya ubakaji nchini humo.

  • SAUTI, Balozi wa Iran Tanzania: Iddi ya Ghadir ni kwa ajili ya Waislamu wote si kwa Waislamu wa Shia peke yao

    SAUTI, Balozi wa Iran Tanzania: Iddi ya Ghadir ni kwa ajili ya Waislamu wote si kwa Waislamu wa Shia peke yao

    Aug 30, 2018 12:30

    Balozi wa Jamuhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Tanzania, Mousa Farhang, amesema kuwa, Sikukuu ya Ghadir sio kwa ajili ya Waislamu wa Shia pekee, bali Waislamu wa madhehebu yote duniani.

  • Mbowe: Viongozi wa Chadema Tanzania, tunatengenezewa kesi ili tufungwe

    Mbowe: Viongozi wa Chadema Tanzania, tunatengenezewa kesi ili tufungwe

    Aug 24, 2018 00:13

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) nchini Tanzania, Freeman Mbowe, amesema kuwa, viongozi wa chama hicho wanatengenezewa kesi ili wafungwe jela na kusisitiza kuwa, pamoja na hayo wao hawaogopi kwenda jela.

  • Tanzania yakabiliwa na hatari kubwa ya mlipuko wa homa ya Ebola

    Tanzania yakabiliwa na hatari kubwa ya mlipuko wa homa ya Ebola

    Aug 22, 2018 03:09

    Waziri wa afya wa Tanzania Bibi Ummy Mwalimu amesema, Tanzania inakabiliwa na hatari kubwa ya kutokea kwa mlipuko wa ugonjwa wa Ebola, ambao umesababisha vifo vya watu 50 kati ya wagonjwa 91 nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC

  • SAUTI, Sheikh Jalala: Nchi zilizowakoloni Waafrika zilipe fidia kwa nchi za bara hilo, sambamba na kutupiliwa mbali mitaala yao

    SAUTI, Sheikh Jalala: Nchi zilizowakoloni Waafrika zilipe fidia kwa nchi za bara hilo, sambamba na kutupiliwa mbali mitaala yao

    Aug 17, 2018 11:43

    Kiongozi wa Chuo cha Imam Swadiq (as) cha jijini Dar es Salaam, Tanzania Sheikh Hemed Jalala, ameonya tabia ya nchi za Kiafrika kuendelea kukumbatia mitaala na maelekezo ya nchi za kikoloni na kibeberu kwa kuwa mabeberu hao hawana nia njema na bara la Afrika.

  • SAUTI, Waziri wa Sheria na Katiba Tanzania: Serikali imeamua kuyaweka mashirika yote ya umma chini ya Mwanasheria Mkuu

    SAUTI, Waziri wa Sheria na Katiba Tanzania: Serikali imeamua kuyaweka mashirika yote ya umma chini ya Mwanasheria Mkuu

    Aug 16, 2018 11:07

    Waziri wa Katiba na Sheria nchini Tanzania Prof. Palamagamba Kabudi amesema, serikali imeamua kuyaweka mashirika yote ya umma kuanzia Tanesco, mifuko ya hifadhi ya jamii na bandari chini ya usimamizi wa Mwanasheria Mkuu wa serikali kwa lengo la kuzuia mashirika hayo kuendelea kupata hasara.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS