-
Serikali ya Tanzania yaamuru msako wa kuwakamata wahamiaji
Aug 07, 2018 03:17Serikali ya Tanzania kupitia mkuu wa mkoa wa Kigoma, Emmanuel Maganga imeitaka idara ya uhamiaji kuanza msako mkali kwa ajili ya kuwakamata wahamiaji haramu waliojificha katika mashamba na majumbani mwa watu.
-
SAUTI, Sheikh Hemedi Jalala, awataka watu wenye imani tofauti kuvumiliana, kuelewana na kulinda amani
Aug 06, 2018 12:11Kiongozi wa Chuo cha Imam Swadiq (as) jijini Dar es Salaam, Tanzania Sheikh Hemed Jalala, ametoa mwito kwa watu wa dini tofauti kuishi kwa maelewano, amani na utulivu.
-
SAUTI, Madereva nchini Tanzania, waikosoa polisi kwa kuwanyang'anya leseni zao, wadai hilo haliwezi kuzuia ajali za barabarani
Jul 26, 2018 12:27Jeshi la polisi kikosi cha usalama barabarani nchini Tanzania, limetangaza kuanzisha operesheni kali ya uhakiki wa leseni za madereva wote nchini huko kuanzia Agosti Mosi mwaka huu.
-
Makamu wa Rais Tanzania: Kuharibu mazingira ni kumkufuru Mungu
Jul 25, 2018 08:47Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania, Bi Samia Suluhu Hassan amewataka Watanzania kuacha kumkufuru Mwenyezi Mungu katika uumbaji wake kwa kuharibu mazingira ili kwa njia hiyo kuendelea kulinda ikolojia.
-
SAUTI, Tanzania na Korea Kusini zaimarisha ushirikiano, zaondoa zuio la visa kwa wanadiplomasia na watumishi wa nchi mbili
Jul 22, 2018 11:49Waziri Mkuu wa Korea Kusini, Lee Nak-yeon ameanza ziara ya kikazi ya siku tatu nchi Tanzania na kupokelewa na mwenyeji wake Waziri wa Jamuhuri ya Muungango wa Tanzania, Kassim Majaliwa.
-
Wabunge wa Tanzania waunga mkono uamuzi wa Rais Museveni wa kuwapa ulinzi wabunge
Jul 21, 2018 10:43Wabunge kadhaa nchini Tanzania wameupokea kwa mikono miwili uamuzi wa Rais Yoweri Museven wa Uganda wa kuwapa ulinzi wabunge wa nchi hiyo kwa lengo la kuwaepusha na mashambulizi yanayofanywa na watu wasiojulikana.
-
Waziri wa Mambo ya Ndani Tanzania: Wafungwa wataanza kujilisha wenyewe
Jul 21, 2018 10:07Waziri wa Mambo ya Ndani Nchini Tanzania, Kangi Lugola, amemtaka Mkuu wa Magereza nchini humo, Kamishna Jenerali Phaustine Martin Kasike kumpelekea mikakati ya kuhakikisha wafungwa wanajilisha kwa kufanya kazi badala ya kulishwa kwa fedha za serikali.
-
China: Nchi za Afrika zijiepushe kuwaingiza madarakani wala rushwa
Jul 17, 2018 14:12Mkuu wa Idara ya Kimataifa na Waziri wa Mahusiano wa Kimataifa wa Chama cha Kikomunisti nchini China (CPC), Song Tao, amezishauri serikali za mataifa ya bara la Afrika kuandaa mkakati maalumu ambao kwa mujibu wake utazuia viongozi wala rushwa kuingia madarakani.
-
Amnesty International yamjia juu Rais Magufuli kwa kuwadhalilisha wafungwa wa Tanzania
Jul 17, 2018 03:01Shirikisha la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limemkosoa vikali Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kutaka wafungwa nchini humo kufanyishwa kazi usiku na mchana na kupigwa mijeledi wakiwa wavivu.
-
Waziri wa Mambo ya Ndani Tanzania: Sakata la wahamiaji haramu uhamiaji ijitathimini
Jul 12, 2018 10:26Waziri wa Mambo ya Ndani wa Tanzania, Kangi Lugola ameitaka idara ya Uhamiaji kujitathmini kuhusiana na suala la wahamiaji haramu ambao wamekuwa wakiingia nchi hiyo mara kwa mara.