Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Tanzania

  • SAUTI, Viongozi Chadema Tanzania: Tume ya Uchaguzi isimamie vyema uchaguzi wa Buyugu kuepusha ghasia

    SAUTI, Viongozi Chadema Tanzania: Tume ya Uchaguzi isimamie vyema uchaguzi wa Buyugu kuepusha ghasia

    Jul 12, 2018 11:27

    Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Demokrasia na Maendelea (CHADEMA) kimeitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kusimamia kwa haki uchaguzi mdogo wa ubunge na udiwani katika eneo la Buyugu mkoani Kigoma.

  • SAUTI, Viongozi wa upinzani Tanzania waendelea kuishambulia bajeti ya serikali, waitaja kuwa si rafiki wa Watanzania

    SAUTI, Viongozi wa upinzani Tanzania waendelea kuishambulia bajeti ya serikali, waitaja kuwa si rafiki wa Watanzania

    Jun 28, 2018 11:19

    Viongozi wa upinzani nchini Tanzania wameendelea kukosoa bajeti ya serikali yam waka wa fedha 2018-2019 wakidai kuwa bajeti hiyo si rafiki wa wananchi.

  • Polisi ya Tanzania yawatia mbaroni wezi wakubwa wa mitandao ya simu

    Polisi ya Tanzania yawatia mbaroni wezi wakubwa wa mitandao ya simu

    Jun 27, 2018 09:55

    Jeshi la polisi maalamu ya Dar es salaam nchini Tanzania limetanza kuwa, linawashikilia watu 15 kwa kujihusisha na wizi kwa njia ya mtandao.

  • Homa ya Chikungunya na Dengue zaripotiwa nchini Tanzania (RIPOTI)

    Homa ya Chikungunya na Dengue zaripotiwa nchini Tanzania (RIPOTI)

    Jun 26, 2018 10:30

    Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto nchini Tanzania imetoa taarifa kwa umma kuhusu kuwepo kwa magonjwa wa homa ya Chikungunya na Dengue nchini humo.

  • Watu 14 wafariki dunia katika ajali mbaya iliyotokea asubuhi ya leo Mkuranga, Tanzania

    Watu 14 wafariki dunia katika ajali mbaya iliyotokea asubuhi ya leo Mkuranga, Tanzania

    Jun 25, 2018 03:48

    Watu 14 wameripotiwa kufariki dunia katika ajali mbaya ya gari iliyotokea mapema leo  mkoani Pwani nchini Tanzania.

  • LHRC: Kuna njia tatu kuu zitakazofanikisha kupatikana katiba mpya Tanzania

    LHRC: Kuna njia tatu kuu zitakazofanikisha kupatikana katiba mpya Tanzania

    Jun 22, 2018 09:27

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) nchini Tanzania kimetoa mapendekezo matatu ambayo kwa mujibu wake yatasaidia kupatikana katiba mpya nchini humo.

  • SAUTI, Mawaziri wa Nishati wa Rwanda na Tanzania watembelea mradi wa umeme wa Rusumo wahimiza kasi zaidi

    SAUTI, Mawaziri wa Nishati wa Rwanda na Tanzania watembelea mradi wa umeme wa Rusumo wahimiza kasi zaidi

    Jun 10, 2018 12:38

    Serikali za Rwanda na Tanzania zimekubaliana kuzidisha ushirikiano katika ufuatiliaji wa miradi ya maendeleo kwa ajili ya manufaa ya wananchi wa nchi mbili.

  • Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Quds nchini Tanzania 2018

    Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Quds nchini Tanzania 2018

    Jun 09, 2018 08:29

    Siku ya Kimataifa ya Quds ni Ijumaa ya mwisho ya mwezi mtukufu wa Ramadhani. Mwaka huu imesadifiana na tarehe 8 Juni 2018 na imefanyika kwa kufana zaidi duniani kuliko miaka yote iliyopita. Hapa tumeweka baadhi ya picha za maandamano ya siku hiyo nchini Tanzania.

  • RIPOTI MATUKIO YA KIISLAMU, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam awataka wanawake kuacha kuvaa nguo fupi na zenye kubana

    RIPOTI MATUKIO YA KIISLAMU, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam awataka wanawake kuacha kuvaa nguo fupi na zenye kubana

    Jun 08, 2018 11:35

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda, amewataka wanawake na wasichana wanaovaa nguo fupi na nguo za kubana kuacha tabia hiyo hususan katika kipindi hiki cha mwezi mtukufu wa Ramadhan.

  • Rais wa Tanzania aomboleza ajali mbaya iliyotokea mkoani Kigoma, atoa amri kwa vyombo vya usalama

    Rais wa Tanzania aomboleza ajali mbaya iliyotokea mkoani Kigoma, atoa amri kwa vyombo vya usalama

    Jun 06, 2018 10:26

    Rais John Pombe Magufuli wa Tanzania sambamba na kutoa salamu za rambirambi kwa familia zilizowapoteza ndugu na jamaa zao katika ajali mbaya iliyotokea eneo la Gungu mkoani Kigoma mjini, amewataka maafisa usalama barabarani kuchukua hatua madhubuti ili kudhibiti ajali za barabarani zinazoweza kuepukika.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS