-
Rais wa Tanzania akutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran
Aug 26, 2022 23:29Rais Samia Suluhu Hassan wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Hossein Amir-Abdollahian mjini Dodoma.
-
Zanzibar: Tuna hamu ya kupanua uhusiano wetu na Iran
Aug 26, 2022 02:59Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto wa Zanzibar amesema anatumai kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zitaimarisha na kupanua uhusiano wao wa pande mbili.
-
Amir-Abdollahian: Afrika ni moja ya vipaumbele vikuu vya diplomasia ya kiuchumi ya Iran
Aug 25, 2022 06:54Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran aliyeko ziarani nchini Tanzania amesema kuwa, bara la Afrika ni moja ya vipaumbele vikuu vya diplomasia ya kiuchumi ya Iran.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran aelekea Tanzania akitokea nchini Mali
Aug 24, 2022 10:04Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo Jumatano ameelekea nchini Tanzania baada ya kumaliza ziara yake ya kikazi katika nchi ya Mali ya Magharibi mwa Afrika.
-
Baada ya Ndui ya Nyani, Marburg na Ebola katika nchi kadhaa za Afrika, homa ya Mgunda yathibitishwa Tanzania
Jul 18, 2022 06:37Wizara ya Afya ya Tanzania imetangaza uwepo wa mlipuko mpya wa ugonjwa wa Homa ya Mgunda unaosababisha wananchi kutoka damu puani na kuishiwa nguvu na hata kufariki dunia.
-
Amnesty yamwandikia barua Rais wa Tanzania kupinga kesi ya mauaji inayowakabili Wamaasai 25
Jul 17, 2022 06:41Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limemwandikia barua Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kutaka operesheni maalumu ya kuwahamaisha watu wa jamii ya Maasai kutoka Loliondo katika mbuga ya taifa ya Serengeti, isitishwe mara moja.
-
Mabadilishano ya kibiashara baina ya Iran na Tanzania yameongezeka kwa 120%
Jul 02, 2022 07:19Balozi mdogo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Tanzania amesema, mabadilishano ya kibiashara kati ya nchi hizo mbili katika mwaka uliopita yaliongezeka kwa asilimia 120.
-
Ajali za barabarani zaua watu 25 Tanzania ndani ya saa 24
Jun 11, 2022 06:48Watu watano wamepoteza maisha na wengine tisa wamejeruhiwa baada ya basi dogo aina ya Coaster waliyokuwa wakisafiria kuacha njia na kupinduka nchini Tanzania.
-
Rais Samia anadi fursa za uwekezaji na utalii nchini Tanzania katika ziara yake Marekani
Apr 16, 2022 08:40Rais Samia Suluhu Hassan wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jana alikuwa na mazungumzo na Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Haris, kwa lengo la kufufua sekta ya utalii nchini Tanzania na kuimarisha uhusiano baina ya nchi hizo mbili.
-
Sensa Tanzania: Rais Samia atangaza tarehe ya kuhesabiwa Watanzania
Apr 08, 2022 08:36Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzaniza, Samia Suluhu Hassan amezindua rasmi nembo ya sensa na kutangaza kuwa siku ya sensa ya watu na makazi nchini humo itakuwa Jumanne Agosti 23, mwaka huu 2022.