Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Tanzania

  • Benki za Kiislamu Tanzania zakumbatiwa na wasiokuwa Waislamu

    Benki za Kiislamu Tanzania zakumbatiwa na wasiokuwa Waislamu

    Apr 06, 2022 21:27

    Benki za Kiislamu nchini Tanzania zimeendelea kupata umaarufu na kupongezwa kwa huduma zao, na sasa zinawavutia kwa wingi hata wateja wasiokuwa Waislamu nchini humo.

  • Rais Samia avitaka vyama vya kisiasa Tanzania kushiriki katika kuleta maendeleo ya taifa

    Rais Samia avitaka vyama vya kisiasa Tanzania kushiriki katika kuleta maendeleo ya taifa

    Apr 05, 2022 07:17

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amehudhuria Mkutano wa Kitaifa wa Maridhiano, Haki na Amani ulioandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD).

  • Uhaba wa mafuta ya petroli wawalazimisha Wakenya kwenda Tanzania kuyatafuta

    Uhaba wa mafuta ya petroli wawalazimisha Wakenya kwenda Tanzania kuyatafuta

    Apr 02, 2022 08:33

    Uhaba wa mafuta ya petroli katika Kaunti ya Kwale, Pwani ya Kenya umewalazimisha madereva kusafiri hadi katika nchi jirani ya Tanzania kupitia mpaka wa Lungalunga ili kutafuta bidhaa hiyo muhimu, huku wafanyabiashara wakipandisha bei kutokana na uhaba mkubwa wa bidhaa hiyo nchini Kenya.

  • Kongamano la Idhaa za Kiswahili lamalizika Tanzania, waandishi waaswa kutochanganya Kiswahili na Kiingereza

    Kongamano la Idhaa za Kiswahili lamalizika Tanzania, waandishi waaswa kutochanganya Kiswahili na Kiingereza

    Mar 21, 2022 08:47

    Kongamano la kimataifa la Idhaa za Kiswahili limemalizika mjini Arusha Tanzania, kwa washiriki, hasa waandishi wa habari, kukumbushwa umuhimu wa kutekeleza jukumu lao la kuzungumza lugha fasaha ya Kiswahili ili wananchi wanaowasikiliza waweze kujifunza kutoka kwao.

  • Tanzania yakaribisha pendekezo la Iran la kutoa elimu na mafunzo ya ujuzi kwa wanawake wa nchi hiyo

    Tanzania yakaribisha pendekezo la Iran la kutoa elimu na mafunzo ya ujuzi kwa wanawake wa nchi hiyo

    Mar 20, 2022 06:27

    Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu wa Tanzania amekaribisha pendekezo lililotolewa na Makamu wa Rais wa Iran katika Masuala ya Wanawake na Familia la kuwapatia mafunzo ya ujuzi wanawake na wasichana wa Tanzania.

  • Mahakama Tanzania yamuachia huru Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe

    Mahakama Tanzania yamuachia huru Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe

    Mar 04, 2022 08:54

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) nchini Tanzania, Freeman Mbowe na wenzake watatu, leo Ijumaa wamefutiwa mashtaka yote yaliyokuwa yakiwakabili katika Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi.

  • Mahakama Kuu ya Tanzania yasema, Mwenyekiti wa CHADEMA na wenzake watatu wana kesi ya kujibu

    Mahakama Kuu ya Tanzania yasema, Mwenyekiti wa CHADEMA na wenzake watatu wana kesi ya kujibu

    Feb 18, 2022 10:49

    Mahakama Kuu ya Tanzania, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi imemkuta ana kesi ya kujibu Mwenyekiti wa chama cha upinzani cha CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake watatu, katika mashtaka matano ya ugaidi yanayaowakabili .

  • Zanzibar yazindua teknolojia mpya ya kupima corona kwa simu

    Zanzibar yazindua teknolojia mpya ya kupima corona kwa simu

    Feb 16, 2022 23:48

    Serikali ya Zanzibar jana Jumatano ilizindua rasmi teknolojia mpya inayoweza kutambua uwezekano wa maambukizi ya Covid-19 kwa muda mfupi kwa kutumia simu (EDE).

  • Watanzania 3 wakamatwa DRC wakituhumiwa kuwa wanachama wa ADF

    Watanzania 3 wakamatwa DRC wakituhumiwa kuwa wanachama wa ADF

    Feb 08, 2022 04:16

    Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo limetangaza habari ya kuwatia mbaroni raia watatu wa Tanzania, kwa tuhuma za kuwa wanachama wa kundi la wanamgambo wa ADF.

  • Dr. Tulia Ackson achaguliwa kuwa spika mpya wa Bunge la Tanzania

    Dr. Tulia Ackson achaguliwa kuwa spika mpya wa Bunge la Tanzania

    Feb 01, 2022 10:03

    Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limemchagua Dk Tulia Ackson kuwa spika wa bunge hilo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS