Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Tehran

  • Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu: Mashambulizi ya kigaidi ya Tehran hayatavuruga azma ya taifa la Iran

    Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu: Mashambulizi ya kigaidi ya Tehran hayatavuruga azma ya taifa la Iran

    Jun 09, 2017 08:21

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei ametoa ujumbe wa rambirambi kwa mnasaba wa mashambulizi ya kigaidi yaliyofanyika siku chache zilizopita mjini Tehran akisisitiza kuwa, jinai hiyo haiwezi kutia doa katika irada na azma ya taifa la Iran.

  • Zarif: Matamshi ya Trump kuhusu mashambulio ya kigaidi ya Tehran yanaudhi

    Zarif: Matamshi ya Trump kuhusu mashambulio ya kigaidi ya Tehran yanaudhi

    Jun 08, 2017 15:35

    Dk. Mohammad Javad Zarif, Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza kuwa, matamshi ya rais wa Marekani, Donald Trump kuhusiana na mashambulizi ya kigaidi ya mjini Tehran ni kejeli kwa wahanga wa mashambulizi hayo na yanaudhi.

  • Kiongozi Muadhamu: Magaidi hawawezi kufua dafu mbele ya irada ya taifa la Iran

    Kiongozi Muadhamu: Magaidi hawawezi kufua dafu mbele ya irada ya taifa la Iran

    Jun 08, 2017 04:52

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu alasiri ya jana alihutubia hadhara ya wanafunzi wa vyuo vikuu waliokwenda kuonana naye na kusema kuwa, mashambulizi ya kigaidi yaliyofanyika jana mjini Tehran hayawezi kutia doa katika irada na azma kubwa ya taifa na viongozi wa Iran.

  • Maonyesho ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran kufunguliwa

    Maonyesho ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran kufunguliwa

    May 29, 2017 07:25

    Maonyesho ya 25 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran yanaanza leo Alasiri katika Ukumbi wa Sala wa Imam Khomeini MA mjini Tehran.

  • Ayatullah Kermani apongeza ushiriki mkubwa wa wananchi wa Iran katika uchaguzi wa leo

    Ayatullah Kermani apongeza ushiriki mkubwa wa wananchi wa Iran katika uchaguzi wa leo

    May 19, 2017 16:24

    Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo mjini Tehran amepongeza ushiriki mkubwa wa wananchi katika upigaji kura wa uchaguzi wa rais leo na kusema kuwa, suala hilo ni jambo muhimu.

  • Ayatullah Kadhim Siddiqi: Uchaguzi ni alama ya uwezo na izza ya taifa la Iran

    Ayatullah Kadhim Siddiqi: Uchaguzi ni alama ya uwezo na izza ya taifa la Iran

    May 12, 2017 16:15

    Imamu wa muda wa Sala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo mjini Tehran, amesema kuwa ushiriki wa wananchi wa Iran katika nyanja mbalimbali za kisiasa na katika uchaguzi ni dhihirisho la uwezo, izza na imani ya wananchi hao kwa Mwenyezi Mungu Mtukufu.

  • Khatibu wa Sala ya Ijumaa: Kujitokeza kwa wingi Wairani katika upigaji kura kutawashangaza maadui

    Khatibu wa Sala ya Ijumaa: Kujitokeza kwa wingi Wairani katika upigaji kura kutawashangaza maadui

    Apr 28, 2017 14:49

    Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo mjini Tehran amesema, kujitokeza kwa wingi wananchi wa Iran katika upigaji kura hapo Mei 19 ni jambo ambalo litawashangaza maadui na kuwapelekea wapoteze matumaini.

  • Nchi za Kiislamu zatakiwa kuwaunga mkono wafungwa wa Palestina

    Nchi za Kiislamu zatakiwa kuwaunga mkono wafungwa wa Palestina

    Apr 27, 2017 02:46

    Balozi wa Palestina mjini Tehran amesema Palestina itaweza kusaidika iwapo kutakuwa na umoja katika ulimwengu wa Kiislamu huku akitoa wito kwa nchi za Kiislamu kuwaunga mkono wafungwa wa Palestina.

  • Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Walemavu wa Macho yaanza Tehran

    Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Walemavu wa Macho yaanza Tehran

    Apr 19, 2017 02:30

    Duru ya pili ya Mashindano ya Kimataifa ya Walemavu wa Macho yanaanza leo mjini Tehran yakiwashirikisha wawakilishi wa nchi 23.

  • Mkutano wa kusaka amani Syria unafanyika Tehran

    Mkutano wa kusaka amani Syria unafanyika Tehran

    Apr 18, 2017 03:52

    Mkutano wa wataalamu kuhusu mazungumzo ya amani Syria unafanyika leo mjini Tehran, Iran katika fremu ya mchakato wa amani wa Astana, Kazakhstan.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS