-
Rwanda yapiga marufuku mashirika, asasi kushirikiana na Ubelgiji
Mar 28, 2025 07:24Serikali ya Rwanda imeyapiga marufuku mashirika yote ya kimataifa na ya kitaifa yasiyo ya kiserikali (NGOs) na mashirika yanayofanya kazi nchini humo kushirikiana na serikali ya Ubelgiji na mashirika yake tanzu.
-
Waziri Mkuu wa Ugiriki: Uchaguzi wa Uturuki utaainisha uhusiano wa nchi mbili
May 02, 2023 01:24Waziri Mkuu wa Ugiriki amesisitiza kuwa uchaguzi wa Rais wa Uturuki uliopangwa kufanyika Mei 14 mwaka huu utaainisha mustakbali wa uhusiano baina ya Athens na Ankara.
-
Ugiriki: Vikwazo vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Russia vimetudhuru wenyewe
Sep 12, 2022 07:02Waziri Mkuu wa Ugiriki amesema kuwa, vikwazo vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Moscow vimetoa pigo la kiuchumi kwa nchi zenyewe za Ulaya kabla ya hata Russia.
-
Karibuni hivi Ugiriki itarejesha shehena ya mafuta ya Iran iliyoiba
Jul 27, 2022 03:02Ubalozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Ugiriki umetangaza kuwa operesheni ya kuyahamisha na kuyarejesha mafuta ya Iran yaliyoibwa itaanza hivi karibuni.
-
Kuanza tena safari za Bin Salman katika nchi za Magharibi baada ya kusimama kwa miaka 4
Jul 26, 2022 04:42Mohammed bin Salman, Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudi Arabia anatazamiwa kuondoka nchini humo leo Jumanne kwa ajili ya kufanya safari katika nchi za Ugiriki na Cyprus.
-
IRGC: Meli mbili za mafuta za Ugiriki zimekamatwa katika maji ya Ghuba ya Uajemi kwa kukiuka taratibu
May 28, 2022 03:15Idara Kuu ya Mahusiano ya Umma ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) imetangaza kuwa meli mbili za mafuta za Ugiriki zimekamatwa katika maji ya Ghuba ya Uajemi kwa sababu ya kukiuka taratibu.
-
Safari tarajiwa ya rais wa utawala wa Kizayuni wa Israel nchini Uturuki
Jan 20, 2022 09:35Baadhi ya matukio ya miaka ya hivi karibuni yanaonyesha kuwepo mkakati maalumu wa kuanzishwa tena uhusiano wa karibu baina ya Uturuki na utawala wa kibaguzi wa Israel.
-
Ugiriki, Misri na Cyprus zaionya Uturuki iache vitendo vyake vya kichokozi
Oct 20, 2021 07:20Wakuu wa nchi za Cyprus, Misri na Ugiriki jana Jumanne walikutana mjini Athens na kutoa onyo kali kwa Uturuki iache vitendo vyake vya kichokozi katika eneo la mashariki mwa Bahari ya Mediterranean.
-
Lavrov: Russia ina wasiwasi na hatua za Marekani za kuibua mivutano Mediterania
Sep 08, 2020 12:43Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ameeleza wasiwasi wake kuhusu hatua za Marekani za kuzusha hali ya mivutano katika eneo la mashariki mwa Mediterania.
-
Tahadhari ya Josep Borrell kwa Uturuki na kushadidi mivutano baina ya EU na Ankara
Sep 08, 2020 02:34Kushadidi hitilafu baina ya Ugiriki na Uturuki juu ya suala la kutafuta mafuta na gesi katika Bahari ya Aegean ambako kumeziweka nchi hizo mbili katika ncha ya kutumbukia kwenye vita, kumefuatiwa na ukosoaji wa Umoja wa Ulaya ambao umetoa tahadahri kali kwa serikali ya Uturuki.