-
Bunge la Ugiriki laafiki mapatano ya baharini yaliyofikiwa kati ya nchi hiyo na Misri
Aug 28, 2020 07:29Bunge la Ugiriki hatimaye limepasisha mapatano yaliyofikiwa kati ya nchi hiyo na Misri ya kuianisha mipaka ya baharini.
-
Kuongezeka mvutano kati ya Uturuki na Ufaransa mashariki mwa Bahari ya Mediterania
Aug 15, 2020 04:07Umoja wa Ulaya umetoa radiamali hasi kuhusu hatua ya Uturuki ya kutekeleza miradi ya kugundua mafuta na gesi katika maji ya mashariki mwa Bahari ya Mediterania.
-
Kushadidi malumbano ya kisiasa ya Umoja wa Ulaya na Uturuki
Jul 29, 2020 02:29Kufuatia kushadidi taharuki baina ya Uturuki na Jordan, Kansela Angela Merkel wa Ujerumani, ambaye nchi yake inashikilia uwenyekiti wa kimzunguko wa Umoja wa Ulaya, amefanya mazungumzo na Rais Reccep Tayyib Erdogan wa Uturuki na kumtahadharisha kuwa, matatizo aliyonyao na Ugiriki hayataishia tu katika nchi hiyo bali atakumbana na matatizo na bara zima la Ulaya.
-
Kufanyika swala ya kwanza ya Ijumaa katika msikiti wa Hagia Sophia
Jul 26, 2020 06:32Sala ya kwanza ya Ijumaa ilisaliwa Ijumaa katika msitiki wa Hagia Sophia nchini Uturuki tarehe 24 mwezi huu wa Saba baada ya miaka 86 kwa kuhudhuriwa na rais, viongozi wa serikali na pia wananchi wa nchi hiyo.
-
Kubadilishwa rasmi matumizi ya jumba la makumbusho la Hagia Sophia na kuwa msikiti
Jul 12, 2020 07:59Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki ametoa amri ya kubadilisha matumizi ya jumba la makumbusho la Hagia Sophia na kulifanya msikiti.
-
Ubelgiji yaendelea kushuhudia maandamano ya kulaani marufuku ya hijabu
Jul 11, 2020 11:33Kwa siku kadhaa sasa, mji mkuu wa Ubelgiji, Brussels umeshuhudia maandamano ya kulaani marufuku ya uvaaji hijabu na mitandio ya kichwani katika vyuo vikuu na taasisi za elimu ya juu za nchi hiyo ya Ulaya.
-
Ugiriki yapinga hatua ya Uturuki ya kutuma jeshi nchini Libya
Jul 02, 2020 06:38Waziri wa Mambo ya Nje wa Ugiriki amezitaja hatua za kijeshi za Uturuki huko Libya kuwa ni uvamizi na kusisitiza kuwa Athens inapinga hatua hizo.
-
Mfalme wa Ubelgiji aiangukia miguuni DRC, aiomba radhi kwa ukoloni
Jun 30, 2020 11:10Mfalme Philippe wa Ubelgiji ameiomba radhi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kutokana na jinai ambazo nchi hiyo ya Ulaya iliwafanyia Wakongomani kwa muda wa miaka 75 katika kipindi cha ukoloni.
-
Waislamu wa Ugiriki walalamikia amri ya serikali ya kufungwa msikiti mkongwe karibu na Athens
Jun 25, 2020 11:40Jumuiya ya Waislamu nchini Ugiriki imekosoa vikali agizo la serikali ya nchi hiyo la kufungwa msikiti mkongwe zaidi uliopo jirani na mji mkuu Athens.
-
Ugiriki: Tumejiweka tayari kupambana kijeshi na Uturuki
Jun 05, 2020 17:09Waziri wa Ulinzi wa Ugiriki amesema kuwa nchi yake imejiweka tayari kwa ajili ya kukabiliana kijeshi na Uturuki kwa ajili ya kulinda haki yake ya kujitawala.