-
Wagiriki waandamana kupinga ubaguzi wa rangi nchini Marekani
Jun 03, 2020 03:06Mamia ya watu nchini Ugiriki wamefanya maandamano mbele ya ubalozi wa Marekani mjini Athens, wakilaani mauaji ya George Floyd yaliyofanywa na polisi mzungu wa nchi hiyo.
-
Rais Tayyip Erdoğan: Misikiti yote mjini Athens, Ugiriki, imeharibiwa
Jun 02, 2020 03:35Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki amesema kuwa misikiti yote mjini Athens, mji mkuu wa Ugiriki, imeharibiwa kwa amri ya viongozi wa nchi hiyo.
-
Mzozo mpya katika uhusiano wa Uturuki na Ugiriki
Apr 05, 2020 22:01Harakati mpya za viongozi wa Ankara na Athens, kwa mara nyingine zimechochea mizozo kati ya Uturuki na Ugiriki.
-
Kushtadi mizozo kati ya Uturuki na Ugiriki
Mar 15, 2020 23:04Wizara ya Mambo ya Nje ya Uturuki imemwita balozi wa Ugiriki mjini Ankara na kumkabidhi malalamiko yake kufuatia ukiukaji wa haki ya kujitawala kwenye maji ya eneo hili na kadhalika kitendo cha serikali ya Athens cha kuweka vikosi vyake katika mipaka ya nchi mbili.
-
Polisi na raia wa Ugiriki wapambana na wahajiri wanaoingia Ulaya
Mar 02, 2020 22:54Polisi na kundi la raia wa Ugiriki wamekabiliana na wahajiri wanaovuka mpaka kuelekea Ulaya.
-
Kura ya turufu ya Ugiriki na hatua ya Uturuki ya kuwaweka rehani wakimbizi
Mar 01, 2020 07:09Uingiliaji wa wazi wa askari wa Uturuki katika mkoa wa Idlib nchini Syria, katika kuyaunga mkono makundi ya kigaidi yanayoendesha harakati zake mkoani humo, umepata uungaji mkono wa Wamagharibi.
-
Ugiriki yazuia kutolewa taarifa ya uungaji mkono wa NATO kwa Uturuki
Feb 29, 2020 23:09Serikali ya Ugiriki imetumia haki yake ya turufu kuzuia kutolewa taarifa ya uungaji mkono wa Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi (NATO) kwa Uturuki.
-
Hali ya kusikitisha na kushtua inayowakabili watoto na wanawake wahajiri nchini Ugiriki
Dec 28, 2019 09:22Gazeti la Daily Mail limeripoti kuwa maelfu ya wanawake na watoto wanakabiliwa na hali ya kusikitisha katika kisiwa kimoja huko Ugiriki.
-
Ugiriki yamtimua balozi wa Libya kulalamikia hati ya maelewano iliyosainiwa kati ya Libya na Uturuki
Dec 06, 2019 23:16Serikali ya Ugiriki imemtimua balozi wa Libya mjini Athens, kufuatia kutiwa saini hati ya maelewano ya ushirikiano wa baharini kati ya Uturuki na serikali ya umoja wa kitaifa ya Libya.
-
Kushirikiana Marekani na Ulaya kuiwekea mashinikizo Uturuki baada ya kugundua gesi
Oct 07, 2019 23:47Uhusiano wa Uturuki na Marekani hasa baada ya kufeli jaribio la mapinduzi ya kijeshi ya tarehe 15 Julai 2016, umeendelea kugubikwa na mizozo mingi.