-
"Israel haina uwezo wa kukabiliana na wanamapambano wa Kiislamu"
Sep 02, 2019 03:12Mtandao maarufu wa habari unaotembelewa na watu wengi nchini Ugiriki umetoa ripoti maalumu na kusema kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel hauna uwezo wa kukabiliana na wanamapambano wa Kiislamu wa Hizbullah ya Lebanon.
-
Marais wa Tanzania na Afrika Kusini wapigia debe fursa za uwekezaji
Aug 15, 2019 08:49Rais John Pombe Magufuli wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani amewakaribisha wafanyabiashara wa Afrika Kusini kwenda kuwekeza katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki kwenye sekta mbalimbali zikiwemo za afya, hoteli, utalii wa fukwe na uchakataji wa madini
-
Ubelgiji yatakiwa kuiomba radhi DRC kwa jinai za enzi za ukoloni
Feb 12, 2019 10:55Wataalamu wa Umoja wa Mataifa wameitaka Ubelgiji iiombe radhi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kutokana na jinai ilizowafanyia Wakongomani katika kipindi cha ukoloni.
-
Kotzias: Wahajiri wanapewa viza za Ugiriki kwa shabaha ya kunyofolewa viungo vyao
Dec 02, 2018 00:11Waziri wa zamani wa mambo ya nje wa Ugiriki amefichua kwamba, baadhi ya mabalozi wa ngazi za juu wa nchi hiyo nje ya nchi wanawapa watoto wa wahajiri viza na vibali vya kuingia nchini humo kwa lengo la kwenda kunyofolewa viungo vyao na kuuzwa katika masoko ya magendo.
-
Watu 74 wapoteza maisha katika janga la moto nchini Ugiriki
Jul 24, 2018 23:57Idadi ya watu waliopoteza maisha nchini Ugiriki baada ya moto mkubwa kuzuka kilomita 35 mashariki mwa mji mkuu Athens imefikia 76.
-
Ubelgiji yasimamisha uuzaji wa silaha kwa Saudi Arabia
Jul 01, 2018 03:23Mahakama ya Juu ya Ubelgiji imesimamisha mauzo ya silaha kwa Saudi Arabia ikisema kuwa serikali ya nchi hiyo ilishindwa kutathmini rekodi mbaya ya ukiukaji wa haki za binadamu ya utawala huo wa kifalme kabla ya kutoa leseni za kuruhusu mauzo hayo.
-
Bemba awasili nchini Ubelgiji baada ya kuachiwa huru na ICC
Jun 16, 2018 02:51Aliyekuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Jean-Pierre Bemba, ambaye Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC siku chache zilizopita ilimuondoa hatiani kuhusu jinai za kivita, amewasili nchini Ubelgiji baada ya kuachiliwa huru na mahakama hiyo.
-
Kongo DR yaiagiza Ubelgiji ifunge ubalozi wake nchini humo na ipunguze safari za ndege
Feb 07, 2018 04:47Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imeagiza Ubelgiji ifunge ubalozi wake mdogo ulioko nchini humo sambamba na kupunguza safari za ndege za shirika la Brussels Airlines kueleka katika nchi hiyo ya Kiafrika.
-
Kansela wa Ujerumani aunga mkono siasa za kuwapokea wakimbizi
Aug 27, 2017 10:06Kansela wa Ujerumani bi Angela Merkel ameunga mkono siasa zinazotekelezwa na serikali yake za kuwapokea wakimbizi nchini humo.
-
Ubelgiji yajuta kuipiga kura Saudia kupewa uanachama wa Kamati ya Haki za Wanawake ya UN
Apr 28, 2017 03:07Waziri Mkuu wa Ubelgiji amesema nchi hiyo ya Ulaya inajuta kwa kuiunga mkono Saudi Arabia kupewa uanachama wa Kamati ya Haki za Wanawake ya Umoja wa Mataifa.