- 
          Kiongozi Muadhamu: Macho ya walimwengu yanaitazama IranMar 01, 2024 06:45Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amepiga kura yake katika dakika za awali za upigaji kura kwa ajili ya awamu ya 12 ya Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge) na awamu ya 6 ya Baraza la Wataalamu wa Uongozi. 
- 
          Mtazamo wa kiusalama wa maadui kuhusu uchaguzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya IranFeb 24, 2024 09:19Ufuatiliaji na uchunguza wa mienendo na harakati za maadui kuhusu uchaguzi wa Machi Mosi nchini Iran unaonyesha kuwa wanautazama uchaguzi huo wa Bunge kwa mtazamo wa kiusalama. 
- 
          Rouhani: Uchaguzi wa Iran uliistaajabisha duniaMar 06, 2016 15:30Rais Hassan Rouhani amesema kwa mara nyingine tena kuwa wananchi wa Iran wamewastaajabisha walimwengu kutokana na namna walivyoshiriki kwa wingi katika uchaguzi wa Bunge na Baraza la Wanazuoni Wataalamu uliofanyika hivi karibuni. 
- 
          140 kuwania viti 70 katika duru ya pili ya uchaguzi wa bunge la IranMar 01, 2016 15:46Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani wa Iran amesema: wagombea 140 watachuana katika duru ya pili ya kuwania viti 70 vya Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu, bunge la Iran. 
- 
          Ayat. Larijani: Kujitokeza kwa wingi Wairani kupiga kura, ishara ya kushindwa njama za mabeberuMar 01, 2016 08:04Mkuu wa Vyombo vya Mahakama nchini Iran amesema kujitokeza kwa wingi wananchi wa Jamhuri ya Kiislamu katika uchaguzi wa Ijumaa iliyopita ni ithibati tosha kuwa taifa la Iran linatii miito ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu sambamba na kutuma ujumbe wa kufeli njama za mabeberu dhidi ya taifa hili. 
- 
          Larijani: Uchaguzi wa Bunge umezidisha hadhi ya Iran kimataifaFeb 29, 2016 08:17Spika wa Bunge la Iran amesema kuwa mahudhurio makubwa ya wananchi wa Iran katika uchaguzi uliofanyika Ijumaa iliyopita hapa nchini yamezidisha hadhi ya Iran katika nyanja za kimataifa. 
- 
          Ijumaa ya leo, siku ya uchaguzi IranFeb 26, 2016 06:58Mamilioni ya wananchi wa Iran tangu mapema leo wameelekea katika vituo vya kupigia kura kuchagua wawakilishi wao katika Bunge la 10 la Jamhuri ya Kiislamu na Baraza la 5 la Wataalamu Wanaochagua Kiongozi wa Juu wa Iran. 
- 
          Iran iko tayari kwa ajili ya uchaguzi wa Bunge na Baraza la WataalamuFeb 25, 2016 15:30Muda wa kampeni za uchaguzi wa Bunge na Baraza la Wataalamu wanaomchagua Kiongozi Mkuu wa Iran umemalizika mapema leo saa mbili asubuhi tarehe 25 Februari na wananchi wa Iran kesho Ijumaa wataelekea kwenye masanduku ya kupigia kuwachagua wawakilishi wao katika zoezi litakaloanza asubuhi na kuendelea kwa masaa kumi. 
- 
          Kiongozi Muadhamu awataka Wairani wote kushiki kwenye zoezi la uchaguzi ujaoFeb 24, 2016 15:52Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza udharura wa wananchi wote wa Iran kushiriki katika uchaguzi wa Bunge la Baraza la Watalamu kwa shabaha ya kuzima na kubatilisha njama za maadui. 
- 
          Uchaguzi wa Iran una taathira kubwa zaidi kieneoFeb 24, 2016 07:31Mchambuzi mwandamizi wa masuala ya kisiasa amesema uchaguzi wa Iran ni muhimu katika eneo