-
UN: Askari usalama wa Cameroon wauwa raia 48 katika maandamano ya kupinga uchaguzi wa rais
Nov 05, 2025 07:11Duru za Umoja wa Mataifa zimeripoti kuwa askari usalama wa Cameroon wameuwa raia 48 katika maandamano ya kupinga kuchaguliwa tena Rais Paul Biya, mtawala mzee zaidi duniani.
-
Kiongozi mkuu wa upinzani Guinea Bissau atupwa nje katika orodha ya mwisho ya uchaguzi
Oct 18, 2025 07:43Muungano mkuu wa upinzani nchini Guinea-Bissau na chama cha kihistoria cha PAIGC kilichoko ndani ya muungano huo havitashiriki kwenye uchaguzi wa uchaguzi wa rais na bunge wa mwezi Novemba mwaka huu.
-
Kiongozi wa upinzani Cameroon Issa Tchiroma Bakary ajitangaza mshindi wa kiti cha urais
Oct 14, 2025 12:46Issa Tchiroma Bakary kiongozi wa upinzani nchini Cameroon ametangaza kwa upande mmoja kuwa mshindi wa uchaguzi wa rais wa juzi Jumapili akimbwaga mshindani wake mkuu Rais Paul Biya ambaye amekuwa madarakani Cameroon kwa miaka 43.
-
Guinea inajiandaa kwa kampeni ya kura ya maoni ili kuhitimisha utawala wa kijeshi
Aug 30, 2025 12:33Guinea Conakry kesho Jumapili itaanza kampeni ya kura ya maoni ya katiba kwa ajili ya kurejesha utawala wa kiraia baada ya jeshi kuchukua madaraka mwaka 2021.
-
Wagombea 81 wachukua fomu ya kuwania kiti cha urais Cameroon
Jul 22, 2025 14:09Jumla ya wagombea 81 wamejaza fomu na kuwasilisha kwa Tume ta Taifa ya Uchaguzi ya nchi hiyo kwa ajili ya kushiriki katika uchaguzi wa Rais wa Oktoba mwaka huu.
-
Rasmi; Rais wa Cameroon, Paul Biya (92) kugombea muhula mwingine katika uchaguzi ujao
Jul 14, 2025 12:56Rais wa sasa wa Cameroon, Paul Biya ametangaza kuwa atagombea muhula wa nane katika uchaguzi wa urais uliopangwa kufanyika Oktoba 12, na hivyo kuhitimisha uvumi wa miezi kadhaa wa iwapo atawania au la.
-
Kan'ani: Uchaguzi wa Venezuela ni dhihirisho la kuimarika mfumo wa demokrasia
Jul 29, 2024 12:20Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ameutaja uchaguzi wa rais uliofanyika nchini Venezuela uliokuwa na hamasa kubwa kuwa ni dhihirisho la kuimarika mfumo wa demokrasia
-
Maduro ashinda uchaguzi wa rais wa Venezuela kwa muhula wa tatu
Jul 29, 2024 06:01Nicolás Maduro ameshinda uchaguzi wa rais wa Venezuela na kuchaguliwa kwa muhula wa tatu kuwa rais wa nchi hiyo.
-
Duru ya pili ya uchaguzi wa Rais wa Iran yaakisiwa kwa wingi duniani
Jul 05, 2024 11:13Vyombo vya habari vya duniani vimeakisi kwa wingi mno duru ya pili ya uchaguzi wa Rais wa Jamhuri ya Kisilamu ya Iran kutokana na watu kujitokeza kwa mamilioni katika uchaguzi huo wa leo Ijumaa.
-
Wananchi wa Iran leo wanapiga kura kumchagua mrithi wa Rais Ebrahim Raisi
Jun 28, 2024 04:30Wananchi wa Iran waliotimiza masharti ya kupiga kura leo wanaelekea katika vituo vya kupigia kura ili kumchagua Rais mpya atakayemrithi Ebrahim Raisi aliyekufa shahidi katika ajali ya helikopta Mei 19 mwaka huu.