-
Vyombo vya habari vya nje 150 kuripoti uchaguzi wa Rais wa Iran
Jun 25, 2024 07:45Wizara ya Utamaduni na Miongozo ya Kiislamu ya Iran imetangaza kuwa vyombo vya habari vya nje 150 kutoka nchi 31 vitaripoti zoezi la uchaguzi wa rais wa Iran utaofanyika Ijumaa ijayo Juni 28.
-
Umuhimu wa safari za kampeni za wagombea wa uchaguzi wa rais wa Iran
Jun 24, 2024 06:49Siku ya Jumamosi, mikutano ya kampeni za uchaguzi za wagombea wa muhula wa 14 wa uchaguzi wa rais wa Iran ilifanyika katika miji tofauti humu nchini na kuhudhuriwa na idadi kubwa ya wananchi.
-
Wagombea wa urais Iran wabainisha mipango yao kwenye mdahalo wa kwanza
Jun 18, 2024 03:26Mdahalo wa kwanza wa wagombea urais nchini Iran ulifanyika jana usiku kupitia televisheni ya taifa, na kuendelea kwa muda wa karibu saa nne.
-
Uchaguzi wa rais Iran: Qalibaf aongoza katika utafiti wa maoni
Jun 14, 2024 10:22Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran), Mohammad Baqer Qalibaf anaongoza katika utafiti wa maoni, kuelekea uchaguzi wa mapema wa rais unaotazamiwa kufanyika Juni 28.
-
Majina ya mwisho ya wagombea uchaguzi wa rais nchini Iran yatangazwa kwa ajili ya kufanyika uchaguzi wa hamasa
Jun 10, 2024 12:21Wizara ya Mambo ya Ndani ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetangaza orodha ya majina ya mwisho ya wagombea wa awamu ya 14 ya uchaguzi wa rais ili kutoa fursa ya kufanyika uchaguzi wa hamasa na wenye ushiriki mkubwa wa wananchi.
-
Kiongozi wa serikali ya mpito ya Chad atazamiwa kuibuka na ushindi katika uchaguzi wa Jumatatu
May 02, 2024 07:34Jenerali Mahamat Idriss Deby Itno, aliyetangazwa na jeshi miaka mitatu iliyopita kuwa kiongozi wa serikali ya mpito ndiye anayepewa nafasi kubwa ya kushinda katika uchaguzi wa Rais Jumatatu ijayo baada ya jeshi la nchi hiyo kuwakandamiza pakubwa wagombea wa upinzani.
-
Ushindi mkubwa wa Putin katika uchaguzi wa rais wa Russia
Mar 19, 2024 06:12Tume Kuu ya Uchaguzi ya Shirikisho la Russia imetangaza kuwa Vladimir Putin, rais wa sasa wa nchi hiyo, ameshinda uchaguzi wa karibuni kwa asilimia 87.32 ya kura na hivyo kupata fursa nyingine ya kuwa rais wa Russia kwa muhula mwingine wa miaka sita. Kwa mujibu wa tangazo la tume hiyo, kiwango cha ushiriki katika uchaguzi kilikuwa cha zaidi ya asilimia 70.
-
Zoezi la upigaji kura kumchagua rais wa Russia limeanza leo
Mar 15, 2024 07:40Zoezi la upigaji kura wa nchi nzima wa kumchagua rais wa Russia limeanza rasmi leo.
-
Kujiandikisha Putin kwa ajili ya uchaguzi wa Russia 2024
Dec 20, 2023 02:37Msemaji wa Kremlin Dmitry Peskov amethibitisha hhatua ya kwenda Rais Vladimir Putin wa Russia katika Kamati Kuu ya Uchaguzi ya nchi hiyo na kujiandikisha kama mgombea kwa muhula ujao wa urais, ambao utafanyika katikati ya Machi 2024. Putin amewasilisha stakabadhi zinazohitajika ili kujiandikisha kuwa mgombea urais.
-
Joseph Boakai atangazwa mshindi wa uchaguzi wa rais wa Liberia
Nov 21, 2023 07:59Mwanasiasa mkongwe Joseph Boakai jana Jumatatu alitangazwa kuwa mshindi wa uchaguzi wa rais wa Liberia, akimshinda George Weah aliyebwagwa katika duru ya pili ya uchaguzi huo. Haya ni kwa mujibu wa tangazo la Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya Liberia (NEC) baada ya kukamilisha zoezi la kuhesabu kura.