-
Sababu zilizopelekea Trump kushinda uchaguzi wa rais wa Marekani
Nov 08, 2024 06:59Hatimaye mchuano mkali uliowaweka watu roho juu, wa kinyang'anyiro cha uchaguzi wa rais wa Marekani wa 2024 uliofanyika Novemba 5, umemalizika na matokeo yake rasmi yametangazwa.
-
Waziri wa Russia: Magharibi inatuibia mabilioni ya fedha zetu, US na EU zinafanya kosa la kihistoria
Oct 26, 2024 05:56Naibu Waziri wa Fedha wa Russia Ivan Chebeskov amesema kitendo cha kuchukua riba inayopatikana kwenye mali zilizozuiliwa za nchi hiyo ili kuipatia mikopo Ukraine ni kinyume cha sheria za kimataifa na kitakuwa na matokeo yasiyotarajiwa kwa nchi za Magharibi.
-
HAMAS yalaani kimya cha walimwengu baada ya Israel kuvamia hospitali na kuua watoto ndani yake
Oct 26, 2024 03:03Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imesema jumuiya na taasisi za kimataifa zinabeba dhima ya kisiasa na kimaadili kwa jinai zinazoendelea kufanywa na utawala dhalimu wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Ghaza.
-
Kamala Harris akiri kutoridhishwa wananchi wa Marekani na hali ya uchumi
Aug 18, 2024 07:10Kamala Harris mgombea wa uchaguzi wa rais kwa tiketi ya chama cha Democrat nchini Marekani amekiri kuwa wananchi wa nchi hiyo hawaridhishwi na mfumuko wa bei za bidhaa na gharama kubwa za maisha na ameahidi kudhibiti mfumuko huo.
-
Biden ajitoa kwenye kinyang'anyiro cha kuwania urais wa Marekani
Jul 23, 2024 02:23Hatimaye, Joe Biden, Rais wa Kidemokrati wa Marekani mwenye umri wa miaka 81, amejiondoa kwenye kinyang'anyiro cha kuwania urais wa nchi hiyo baada ya mijadala mingi kuhusu kugombea kwake katika uchaguzi wa Novemba 5 mwaka huu, na kumuunga mkono Kamala Harris, makamu wake kama mgombea wa kiti hicho.
-
Kampeni za uchaguzi wa rais wa kabla ya wakati wake zaanza rasmi nchini Iran
Jun 10, 2024 11:09Siku ya kwanza ya kampeni za uchaguzi wa kabla ya wakati wake zimeanza leo rasmi hapa nchini Iran kwa wagombea kupewa muda sawa wa kutangaza sera zao katika kanali mbalimbali za redio na televisheni ya taifa.
-
Kuanza mchakato nchini Iran wa kufanyika uchaguzi wa Rais wa kabla ya wakati
May 28, 2024 08:29Iran imeanzisha mchakato wa uchaguzi wa mapema wa rais ambao umepangwa kufanyika mwishoni mwa mwezi Juni.
-
Wamarekani wengi hawataki Joe Biden agombee tena urais
Feb 13, 2024 02:25Matokeo ya uchunguzi mpya wa maoni uliofanyika nchini Marekani yanaonesha kuwa wananchi wengi wa nchi hiyo wanapinga Joe Biden, rais wa nchi hiyo kushiriki katika uchaguzi ujao wa rais ambao unatarajiwa kufanyika baadaye mwaka huu wa 2024.
-
Kuanza uchaguzi wa mchujo wa wagombea wa kiti cha Rais nchini Marekani
Jan 15, 2024 14:08Uchaguzi wa mchujo wa wagombea urais nchini Marekani umepangwa kuanza leo usiku katika jimbo la Iowa huku raia wengi wa nchi hiyo wakiwa na wasiwasi kuhusu siku zijazo na matokeo ya kinyang'anyiro cha uchaguzi huo.
-
Kumbukumbu ya mwaka wa 3 tangu baada ya tukio la Januari 6; Ishara ya kufifia demokrasia ya Marekani
Jan 06, 2024 10:52Maadhimisho ya miaka mitatu ya shambulio dhidi ya Bunge la Congress ya Marekani Januari 6, 2021 yamewadia huku wapinzani wawili katika uchaguzi wa rais, ambao ni Rais Mdemocrati, Joe Biden, na mgombea mkuu wa chama cha Republican, Donald Trump, wakishambuliana kwa maneno makali hasa katika kipindi hiki cha kuingia mwaka wa uchaguzi wa rais nchini Marekani.