-
Saudi Arabia yaendelea kufanya mashambulio dhidi ya wananchi wa Yemen
Feb 16, 2017 04:06Ndege za kijeshi za Saudi Arabia zimeendelea kufanya mashambulio dhidi ya Yemen ikitumia mabomu yaliyopigwa marufuku ya fosforasi na vishada.
-
Daktari aliyenajisi makumi ya wagonjwa afikishwa mahakamani Ufaransa
Dec 31, 2016 14:59Daktari wa Ufaransa aliyewabaka waonjwa 37 katika mji wa Cher amefikishwa mahakamani kujibu tuhuma zinazomkabili.
-
Maelfu ya wanawake wamebakwa kwenye migodi Afrika Kusini
Aug 17, 2016 04:18Shirika la Madaktari Wasiokuwa na Mipaka MSF limetoa ripoti inayoonyesha kutokea visa vingi vya ubakaji katika eneo la migodi la Rustenburg nchini Afrika Kusini
-
Brigedia Jenerali Pordastan: Iran kuadhibu vikali wavamizi
Apr 22, 2016 04:37Kamanda wa Jeshi la Nchi Kavu la Iran amesema chokochoko zozote dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu zitapata jibu kali na kwamba vikosi vya ardhini vya Iran vitawaadhibu vikali wavamizi.
-
Kutimia mwaka mmoja wa mashambulio ya kivamizi ya Saudi Arabia dhidi ya Yemen
Mar 27, 2016 08:21Jumamosi ya jana tarehe 26 Machi ilisadifiana na kutimia mwaka mmoja tangu Saudi Arabia ilipochukua uamuzi wa kuivamia na kuishambulia kijeshi nchi ya Yemen.