-
Ubalozi wa Ufaransa nchini Burkina Faso washambuliwa, Paris inatuhumiwa kumficha Kanali Damiba
Oct 02, 2022 08:34Ubalozi wa Ufaransa nchini Burkina Faso umeshambuliwa baada ya Paris kushutumiwa kwamba imempa hifadhi kamanda wa jeshi la Burkina Faso, Luteni Kanali Paul-Henri Damiba aliyeng'olewa madarakani.
-
Mali yaituhumu Ufaransa kwamba, imeisaliti baada ya kuondoa majeshi yake
Sep 25, 2022 06:32Kanali Abdoulaye Maiga, Waziri Mkuu wa Muda wa Mali ameituhumu Ufaransa kwamba, imelitelekeza taifa hilo la magharibi mwa Afrika na kwamba, nchi yake imesalitiwa.
-
Mkusanyiko wa kulalamikia kufukuzwa nchini Ufaransa Imam wa Swala ya Jamaa
Sep 06, 2022 06:03Mwenendo wa chuki dhidi ya Uislamu na vitendo vya utumiaji mabavu dhidi ya Waislamu katika mataifa ya Ulaya hususan Ufaransa ungali unaendelea.
-
Safari ya Rais wa Ufaransa nchini Algeria
Aug 28, 2022 08:32Kufuatia kuendelea mvutano kati ya Ufaransa na Algeria, Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa ameitembelea nchi hiyo ya Kiafrika kwa lengo la kuboresha uhusiano ulioharibika na kufungua "ukurasa mpya" katika uhusiano wa pande mbili.
-
Algeria na Ufaransa zakubaliana kuanzisha ushirikiano mpya
Aug 28, 2022 02:36Algeria na Ufaransa zimesaini tamko la pamoja la "ushirikiano mpya" mwishoni mwa ziara ya siku tatu ya Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa nchini Algeria.
-
Mgogoro wa nishati Ufaransa wamlazimisha Macron kuzuru koloni la zamani
Aug 26, 2022 02:35Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa amewasili Algeria, koloni la kitambo la nchi hiyo ya Ulaya katika safari inayolenga kuitaka nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika iongeze kiwango cha gesi inayouza barani Ulaya.
-
Yemen yaonya kuhusu harakati za kutia shaka za askari wa US, Ufaransa
Aug 18, 2022 23:35Bunge la Serikali ya Uokovu wa Kitaifa ya Yemen limetadharisha kuhusu harakati na nyendo za kutiliwa shaka za wanajeshi wa Marekani na Ufaransa katika maeneo yanayokaliwa kwa mabavu kusini mwa nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Mali yasema Ufaransa inasaidia magaidi, yaitisha kikao Baraza la Usalama
Aug 18, 2022 02:59Mali imeliomba Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kufanya mkutano wa dharura ili kusitisha kile inachokitaja kuwa ni "vitendo vya uchokozi" vinavyofanywa na Ufaransa kwa kukiuka mamlaka yake, kuunga mkono makundi ya magaidi wakufurishaji na ujasusi.
-
Ukomo wa uwepo wa wanajeshi wa Ufaransa nchini Mali
Aug 16, 2022 07:43Sambamba na kuendelea mvutano kati ya Ufaransa na Mali, hatimaye Paris imetangaza ukomo wa uwepo wa wanajeshi wake katika nchi hiyo ya Afrika Magharibi.
-
Wanajeshi wa mwisho wa Ufaransa waondoka Mali
Aug 16, 2022 03:13Mabaki ya wanajeshi wa Ufaransa waliondoka nchini Mali jana Jumatatu, kuashiria mwisho wa Operesheni ya Barkhane katika nchi hiyo ya eneo la Sahel barani Afrika.