-
Bunge la Ufaransa lapitisha sheria iliyo dhidi ya Uislamu
Feb 17, 2021 04:34Bunge la Ufaransa jana Jumanne lilipitisha sheria iliyo dhidi ya Uislamu na Waislamu nchini humo.
-
Kuanza kikao cha kundi la nchi 5 za Sahel Afrika huko Chad
Feb 16, 2021 22:54Kikao cha kundi la nchi 5 za Sahel Afrika kimeanza katika mji mkuu wa Chad N’Djamena kwa kuhudhuriwa na viongozi wa Ufaransa na wa mataifa ya magharibi wa Afrika.
-
Mashauriano ya Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani na Ufaransa kuhusu namna ya kulinda mapatano ya JCPOA
Feb 16, 2021 04:23Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani na Ufanrasa jana usiku walifanya mashauriano kuhusu masuala tofauti yakiwemo jinsi ya kulinda mapatano ya nyuklia ya JCPOA na vile vile hali ya msambao wa kasi wa virusi vya corona barani Ulaya.
-
Maandamano ya Paris Ufaransa ya kupinga ongezeko la chuki dhidi ya Uislamu
Feb 15, 2021 08:56Mwenedo wa chuki dhidi ya Uislamu barani Ulaya hususan nchini Ufaransa ungali unaendelea ambapo Waislamu wa nchi hiyo wamekuwa wakikabiliwa na mashinikizo makubwa.
-
Maandamano yaendelea Paris Ufaransa, kupinga ukandamizaji dhidi ya Waislamu
Feb 15, 2021 04:22Maandamano ya wananchi wa Ufaransa ya kupinga sheria kali za kuwakandamiza Waislamu nchini humo yanaendelea hasa dhidi ya mpango mpya wa nchi hiyo ya kuwabana zaidi ya Waislamu.
-
Iran yajibu bwabwaja za Ufaransa juu ya makubaliano ya nyuklia ya JCPOA
Jan 30, 2021 23:56Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema silaha za Ufaransa na nchi nyingine za Magharibi ndilo chimbuko kuu la ukosefu wa uthabiti katika eneo la Ghuba ya Uajemi.
-
Mwanasiasa wa Ufaransa ataka marufuku ya hijabu katika maeneo ya umma
Jan 30, 2021 04:49Mwanasiasa mashuhuri wa mrengo wa kulia na mwenye misimamo mikali wa Ufaransa ametoa pendekezo la kupigwa marufuku uvaaji wa vazi la stara la hijabu katika maeneo yote ya umma nchini humo.
-
Rais Macron ashambuliwa kwa kutilia shaka chanjo ya corona
Jan 30, 2021 04:29Wabunge wahafidhina na wanasayansi wa Ulaya wamemjia juu Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa kwa kusema kuwa chanjo ya kukabiliana na corona ya shirika la AstraZeneca la Uingereza 'haifanyi kazi' kama ilivyotarajiwa.
-
Kukataa kuomba radhi Macron kwa jinai ilizofanya Ufaransa enzi za ukoloni nchini Algeria
Jan 22, 2021 06:55Ufaransa, ambayo ilikuwa moja ya madola ya kikoloni, ina faili chafu na la kuaibisha kuhusiana na uvamizi, ukaliaji ardhi kwa mabavu na vitendo vya jinai ilivyofanya mnamo karne ya 20 katika nchi ilizozikoloni hususan Algeria.
-
Macron: Ufaransa haitaiomba radhi Algeria kwa dhulma za enzi za ukoloni
Jan 21, 2021 00:57Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa amesema nchi hiyo ya Ulaya 'haitatubu' wala kuiomba radhi Algeria kutokana na jinai zilizofanywa na Wafaransa katika zama walipoikoloni nchi hiyo ya Kiafrika.