-
Waziri wa Ufaransa: Siwezi kuvumilia kuona watoto wadogo wanavaa hijabu
Jan 19, 2021 03:43Waziri mshauri wa masuala ya uraia wa Ufaransa ametoa matamshi ya chuki dhidi ya Uislamu kwa kutaka uvaaji wa vazi la stara la Kiislamu la Hijabu nchini humo uwekewe mipaka zaidi.
-
Zarif: Nchi za Ulaya katika JCPOA hazijafanya lolote la maana kuyalinda maafikiano hayo ya kimataifa
Jan 18, 2021 01:17Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema: viongozi wa nchi tatu wanachama wa JCPOA (Ujerumani, Uingereza na Ufaranasa) hazifanya lolote la maana kuyalinda maafikiano hayo ya kimataifa.
-
Wafaransa waua raia 20 waliokuwa harusini nchini Mali
Jan 06, 2021 09:05Duru moja ya matibabu nchini Mali imetangaza kuwa, wanajeshi wa Ufaransa wameshambulia sherehe za harusi katika eneo moja la jangwani, katikati ya Mali na kuua zaidi ya raia 20 baadhi yao wakiwa ni watoto wadogo.
-
Matokeo ya kuendelea kuwepo kijeshi Ufaransa barani Afrika
Jan 03, 2021 08:53Uwepo wa kijeshi wa Ufaransa katika maeneo mbalimbali barani Afrika ungali unaendelea.
-
Marais wa Russia na Ufaransa wataka kulindwa mapatano ya JCPOA
Dec 23, 2020 08:55Marais Vladimir Putin wa Russia na Emmanuel Macron wa Ufaransa wametoa mwito wa kuweko jitihada za pamoja za kuyalinda mapatano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Ikulu ya Ufaransa: Corona imemfanya Macron kukohoa sana, uchovu mwingi na homa kupanda
Dec 18, 2020 23:27Ikulu ya Élysée ya Ufaransa imetoa taarifa rasmi kuhusu hali ya kiafya ya rais wa nchi hiyo, Emmanuel Macron baada ya kukumbwa na kirusi cha corona.
-
Viongozi wa EU wajitenga baada ya kutagusana na Macron mwenye Covid-19
Dec 18, 2020 04:18Idadi kubwa ya viongozi wa Umoja wa Ulaya wamejiweka karantini baada ya kutangamana na Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron ambaye pia amejitenga kwa muda wa siku saba baada ya kukutwa na virusi vya corona.
-
France 24 yakosoa undumakuwili wa Macron kuhusu haki za binadamu
Dec 12, 2020 22:16Serikali ya Ufaransa inaendelea kukosolewa kwa kuchukua misimamo inayokinzana na madai yake ya kutetea haki za binadamu kutokana na kuonyesha undumakuwili juu ya suala hilo kwa kuendelea kuziuzia silaha tawala kandamizi.
-
Sheria iliyo dhidi ya Uislamu yapasishwa nchini Ufaransa
Dec 10, 2020 23:24Serikali ya Ufaransa imepasisha sheria mpya ya kuzidi kuwabana na kuwakandamiza Waislamu wa nchi hiyo.
-
Safari ya Rais wa Misri nchini Ufaransa na kupamba moto upinzani na malalamiko dhidi yake
Dec 09, 2020 21:58Safari ya hivi karibuni ya Rais Abdel Fattah el Sisi wa Misri nchini Ufaransa na mazungumzo aliyofanya na Rais Emmanuel Macron wa nchi hiyo vimeibua hasira na malalamiko ya waungaji mkono wa haki za binadamu.