Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ufaransa

  • Erdogan: Dunia ipige vita uadui dhidi ya Uislamu sawa ilivyo katika suala la kupiga vita Uyahudi

    Erdogan: Dunia ipige vita uadui dhidi ya Uislamu sawa ilivyo katika suala la kupiga vita Uyahudi

    Nov 02, 2020 23:15

    Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki ameitaka dunia ijifunze na kupata somo na ibra kutokana na uzembe wa jamii ya kimataifa iliyoacha kuzuia mauaji ya kimbari ya Waislamu wa Bosnia Herzegovina na kusisitiza kuwa, dunia inapaswa kupiga marufuku na kupambana na chuki na uhasama dhidi ya Uislamu kama ilivyopambana na chuki dhidi ya Uyahudi baada ya Holocaust (yanayodaiwa kuwa mauaji ya Mayahudi wakati wa Vita vya Pili vya Dunia).

  • Rais wa Indonesia akosoa undumakuwili wa Wamagharibi kuhusu uhuru wa kujieleza

    Rais wa Indonesia akosoa undumakuwili wa Wamagharibi kuhusu uhuru wa kujieleza

    Nov 01, 2020 08:19

    Rais Joko Widodo wa Indonesia amekosoa undumakuwili wa nchi za Magharibi kuhusu uhuru wa maoni na kujieleza na kusema: "Uhuru wa maoni ambao unavunjia heshima matukufu ya kidini haukubaliki."

  • Kukosolewa mwenendo wa  sera za chuki dhidi ya Uislamu nchini Ufaransa

    Kukosolewa mwenendo wa sera za chuki dhidi ya Uislamu nchini Ufaransa

    Nov 01, 2020 07:49

    Kushadidi utendaji ulio dhidi ya Uislamu barani Ulaya hususan nchini Ufaransa katika majuma ya hivi karibuni siyo tu kwamba, kumewakasirisha Waislamu ulimwenguni kote, bali hata viongozi na wanasiasa wa nchi hiyo wameonyesha radiamali zao kwa hatua hiyo.

  • Dunia yaendelea kulaani matamshi ya Rais wa Ufaransa ya kumvunjia heshima Mtume (saw)

    Dunia yaendelea kulaani matamshi ya Rais wa Ufaransa ya kumvunjia heshima Mtume (saw)

    Nov 01, 2020 04:40

    Wimbi kali la kulaani matamshi yaliyotolewa na Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa akitetea matusi na kuvunjiwa heshima Mtume Muhammad (saw) nchini humo limeendelea kushuhudiwa katika pembe mbalimbali za dunia.

  • Rais wa zamani wa Ufaransa: Si sahihi kuwahusisha magaidi na Uislamu

    Rais wa zamani wa Ufaransa: Si sahihi kuwahusisha magaidi na Uislamu

    Oct 31, 2020 04:08

    Rais wa zamani wa Ufaransa, François Hollande amemuonya rais wa hivi sasa nchi hiyo Emmanuel Macron na kusema kuwa hapaswi kuwahusisha magaidi na dini ya Uislamu.

  • Wafaransa walitumia mifupa ya wapigania uhuru wa Algeria kutengenezea sabuni

    Wafaransa walitumia mifupa ya wapigania uhuru wa Algeria kutengenezea sabuni

    Oct 31, 2020 00:30

    Mshauri wa masuala ya historia wa Rais wa Algeria amefichua jinai ambazo Ufaransa ilitenda nchini humo katika enzi za ukoloni.

  • Macron aendeleza vitendo vya kuuhujumu Uislamu; Trump aparamia mawimbi

    Macron aendeleza vitendo vya kuuhujumu Uislamu; Trump aparamia mawimbi

    Oct 30, 2020 23:08

    Kushtadi vitendo vya chuki na hujuma dhidi ya Uislamu nchini Ufaransa vinavyokwenda sambamba na uungaji mkono wa Rais wa nchi hiyo Emmanuel Macron kwa kisingizio kutetea uhuru wa kusema na kujieleza kumekabiliwa na radiamali mbalimbali na kuifanya nchi hiyo kubwa ya Ulaya ikabiiwe na wimbi kubwa la hasira.

  • Jumuiya Maulamaa wa Palestina: Nchi za Kiislamu zivunje uhusiano wa kidiplomasia na Ufaransa

    Jumuiya Maulamaa wa Palestina: Nchi za Kiislamu zivunje uhusiano wa kidiplomasia na Ufaransa

    Oct 30, 2020 13:16

    Jumuiya ya Maulamaa na Wanatablighi wa Palestina imelaani matamshi ya kifidhuli aliyotoa rais Emmanuel Macron wa Ufaransa ya kuunga mkono kitendo cha jarida la nchi hiyo la Charlie Hebdo cha kumvunjia heshima Bwana Mtume Muhammad SAW na kuzitolea mwito nchi za Kiislamu wa kuvunja uhusiano wa kidiplomasia na Ufaransa.

  • Waziri Mkuu wa Canada apingana na Macron, asema Uislamu hauna mfungamano na ugaidi

    Waziri Mkuu wa Canada apingana na Macron, asema Uislamu hauna mfungamano na ugaidi

    Oct 30, 2020 05:24

    Waziri Mkuu wa Canada, Justin Trudeau amesema kuwa gaidi aliyetekeleza hujuma ya kigaidi katika mji wa Nice nchini Ufaransa hawakilishi dini ya Uislamu wala Waislamu, na kwamba watu wote wanapasa kukiri ukweli huo.

  • Waislamu wa Ufaransa walaani shambulio la kigaidi lililotokea nchini humo

    Waislamu wa Ufaransa walaani shambulio la kigaidi lililotokea nchini humo

    Oct 29, 2020 23:01

    Baraza la Waislamu wa Ufaransa limelaani shambulio la kigaidi lililotokea nchini humo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS