Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ufaransa

  • Waislamu wafukuzwa Ufaransa kwa kisingizio cha kupambana na misimamo mikali

    Waislamu wafukuzwa Ufaransa kwa kisingizio cha kupambana na misimamo mikali

    Oct 19, 2020 22:59

    Mwenendo wa kuenezwa chuki na kejeli dhidi ya itikadi za Kiislamu umekuwa ukiongezeka kwa kasi kubwa nchini Ufaransa katika miaka ya karibuni.

  • Ufaransa kuwafukuza mamia ya Waislamu kwa kisingizio cha

    Ufaransa kuwafukuza mamia ya Waislamu kwa kisingizio cha "harakati za kuchupa mipaka"

    Oct 19, 2020 11:57

    Serikali ya Ufaransa imekusudia kuwafukuza Waislamu wapatao 231 wanaoishi nchini humo kwa madai ya kujihusisha na vitendo vya kupindukia mpaka.

  • Ufaransa yamshambulia na kumtia mbaroni kiongozi wa taasisi ya Kiislamu

    Ufaransa yamshambulia na kumtia mbaroni kiongozi wa taasisi ya Kiislamu

    Oct 16, 2020 04:17

    Polisi ya Ufaransa imevamia nyumba ya kiongozi wa asasi moja isiyo ya kiserikali ya Waislamu wa nchi hiyo na kumtia mbaroni, katika kile kinachoonekana ni muendelezo wa hujuma dhidi ya Uislamu na Waislamu wa nchi hiyo ya Ulaya.

  • Serikali ya Ufaransa yafunga baadhi ya misikiti nchini humo

    Serikali ya Ufaransa yafunga baadhi ya misikiti nchini humo

    Oct 15, 2020 01:05

    Serikali ya Ufaransa imeamua kufunga baadhi ya misikiti nchini humo ikiwa ni katika hatua zake dhidi ya dini tukufu ya Kiislamu na Waislamu.

  • Janga la Corona na watu wasio na makazi huko Paris

    Janga la Corona na watu wasio na makazi huko Paris

    Oct 12, 2020 04:44

    Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa hivi karibuni, hadi kufikia sasa asilimia 40 ya watu wasio na makazi huko Paris mji mkuu wa Ufaransa wameambukizwa corona baada ya janga la corona kuithiri nchi hiyo.

  • Wanazuoni wa Kiislamu Iran walaani pendekezo dhidi ya Uislamu la serikali ya Ufaransa

    Wanazuoni wa Kiislamu Iran walaani pendekezo dhidi ya Uislamu la serikali ya Ufaransa

    Oct 10, 2020 08:40

    Jumuiya ya Wahadhiri katika Chuo cha Kiislamu cha Qum, nchini Iran imelaani vikali pendekezo la serikali ya Ufaransa la kuweka vizingiti katika harakati za Kiislamu nchini humo.

  • Waislamu wa Ufaransa wamjia juu Macron kwa matamshi yake dhidi ya Uislamu

    Waislamu wa Ufaransa wamjia juu Macron kwa matamshi yake dhidi ya Uislamu

    Oct 07, 2020 04:26

    Waislamu nchini Ufaransa wamekosoa vikali kauli ya Rais Emmanuel Macron wa nchi hiyo kuhusu Uislamu na kusisitiza kuwa, matamshi ya rais huyo ni ya kibaguzi.

  • Jumuiya ya Kimataifa ya maulama wa Kiislamu yapinga matamshi ya Rais wa Ufaransa kuhusu Uislamu

    Jumuiya ya Kimataifa ya maulama wa Kiislamu yapinga matamshi ya Rais wa Ufaransa kuhusu Uislamu

    Oct 03, 2020 23:17

    Mkuu wa Jumuiya ya Muungano wa Kimataifa wa Wanazuoni wa Kiislamu amejibu matamshi ya kihasama ya Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa kuhusu Uislamu na kusema kuwa Uislamu hauko wala hautakuwa katika mgogoro.

  • Jitihada za Macron za kuhalalisha muswada dhidi ya Uislamu nchini Ufaransa

    Jitihada za Macron za kuhalalisha muswada dhidi ya Uislamu nchini Ufaransa

    Oct 03, 2020 23:13

    Hujuma na vitendo vya chuki dhidi ya Uislamu barani Ulaya viliongezeka sana baada ya matukio ya Septemba 11 mwaka 2001 nchini Marekani; na mashambulizi ya kundi la kigaidi na lenye misimamo mikali la Daesh katika baadhi ya nchi za Ulaya kama Ufaransa na Uingereza yamezidisha chuki na uhasama dhidi ya Waislamu. Hivi sasa serikali ya Ufaransa ina mpango wa kupasisha sheria ya kuimarisha hujuma na vita dhidi ya Uislamu.

  • Kauli za chuki za Macron dhidi ya Uislamu zawaudhi Waislamu na wanaharakati nchini Ufaransa

    Kauli za chuki za Macron dhidi ya Uislamu zawaudhi Waislamu na wanaharakati nchini Ufaransa

    Oct 03, 2020 09:16

    Waislamu wa Ufaransa wameudhika kwa kauli za chuki dhidi ya Uislamu zilizotolewa na rais wa nchi hiyo Emmanuel Macron.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS