-
Safari ya Rais wa Ufaransa barani Afrika na uhusiano wa pande hizo mbili
Nov 28, 2017 04:03Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ameanza safari ya kuzitembelea nchi kadhaa za Afrika kwa shabaha ya kuzidisha uhusiano wa kisiasa na kiuchumi baina ya nchi yake na nchi za bara hilo.
-
AU: Ulaya unahusika katika matatizo yanayolikumba bara la Afrika
Nov 24, 2017 00:49Mwenyekiti wa hivi sasa wa Umoja wa Afrika, Rais Alpha Condé wa Guinea Conakry amesema kuwa, Umoja wa Ulaya unahusika katika sehemu ya matatizo yanayolikabili bara la Afrika.
-
Serikali ya Ufaransa yawawekea Waislamu vizuizi vipya wasiweze kusali Sala ya Ijumaa katika mji wa Paris
Nov 20, 2017 04:15Waziri wa Mambo ya Ndani wa Ufaransa Gerard Collomb amesema ni marufuku kusali Sala la Ijumaa katika eneo la Clichy kaskazini mwa mji mkuu wa nchi hiyo, Paris.
-
Hariri: Nitaeleza kwa upana matukio ya hivi karibuni baada ya kukutana na Rais Michel Aoun
Nov 19, 2017 00:25Saad Hariri, Waziri Mkuu wa Lebanon ambaye kwa sasa yuko nchini Ufaransa akitokea Saudia, amesema kuwa, ataeleza kwa upana matukio ya hivi karibuni baada ya kukutana na Rais Michel Aoun mjini Bairut.
-
Akthari ya watu wa bara la Ulaya wanamchukia Trump
Nov 04, 2017 23:41Uchunguzi mpya wa maoni uliofanywa unaonyesha kuwa akthari ya watu katika nchi za Ulaya wanamchukia Rais wa Marekani Donald Trump.
-
Marais Putin na Macron: Kupitia upya makubaliano ya JCPOA ni jambo lisilokubalika
Nov 03, 2017 01:02Rais Vladmir Putin wa Russia na Emmanuel Macron wa Ufaransa wamesema kuwa, kuangaliwa upya makubaliano ya nyuklia ya Iran JCPOA, ni jambo lisilokubalika.
-
Rwanda yaitaka Ufaransa kubeba dhima ya kuhusika na mauaji ya kimbari ya 1994
Oct 30, 2017 09:14Waziri wa Mambo ya Nje wa Rwanda ameitaka Ufaransa kubeba dhima ya kuhusika na mauaji ya kimbari ya mwaka 1994 dhidi ya watu wa kabila la Tutsi nchini humo.
-
Sisitizo la kuimarishwa kikosi cha kijeshi cha kundi la 5 la nchi za Sahel kwa ajili ya kupambana na ugaidi
Oct 24, 2017 01:03Nchi wanachama wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa zimesisitiza kuimarishwa zaidii kikosi cha wanajeshi wa nchi tano za eneo la Sahel barani Afrika kwa jina la G-5 ili kutekeleza oparesheni za kupambana na ugaidi katika eneo hilo.
-
Macron: EU itaendelea kuheshimu makubaliano ya nyuklia ya JCPOA
Oct 20, 2017 22:57Rais wa Ufaransa amesema kuwa Ulaya inafanya kila liwezekanalo kulinda makubaliano ya nyuklia yaliyofikiwa kati ya kundi la 5+1 na Iran na kwamba yeye pia yuko tayari kuanza mazungumzo na Iran kuhusu miradi ya makombora na ushawishi wa nchi hiyo katika eneo la Mashariki ya Kati.
-
Waziri wa zamani wa Ufaransa aitwa mahakamani kwa kushirikiana na magaidi Syria
Oct 15, 2017 23:03Habari kutoka nchini Ufaransa zinasema kuwa, waziri wa zamani wa mambo ya nje wa nchi hiyo ya Ulaya ameitwa mahakamani kujibu tuhuma za kushirikiana na magenge ya kigaidi nchini Syria.