-
Kuongezeka hatua za chuki dhidi ya Uislamu nchini Ufaransa
May 03, 2016 23:36Kamisheni ya Mashauri ya Haki za Binadamu nchini Ufaransa (CNCDH) imetangaza katika ripoti yake ya kila mwaka kwamba, vitendo vya chuki dhidi ya Uislamu vimeongezeka mara tatu nchini humo katika mwaka uliopita wa 2015.
-
Marais wa Ufaransa na Misri wasisitiza kuimarisha ushirikiano wa kimataifa dhidi ya ugaidi
Apr 18, 2016 02:45Marais wa Ufaransa na Misri wamesisitiza kuwa upo udharura wa kuimarisha ushirikiano wa kimataifa dhidi ya ugaidi.
-
Wahudumu wa Air France sharti kuvaa Hijab wakija Iran
Apr 03, 2016 10:02Wanawake wanaohudumu katika Shirika la Ndege la Air France wamefahamishwa kuwa ni sharti wavae Hijabu wakati ndege yao inaposimama nchini Iran.
-
Waziri wa Ufaransa alazimika kuomba radhi baada ya kukejeli hijabu
Mar 31, 2016 09:48Waziri wa Haki za Wanawake wa Ufaransa amejikuta pabaya baada ya kutoa matamshi ya kuwavunjia heshima wanawake wa Kiislamu na vazi la stara la hijabu.
-
Paris: Wafaransa zaidi ya 600 wamejiunga na Daesh
Mar 20, 2016 22:29Wizara ya Mambo ya Ndani ya Ufaransa imetangaza kuwa Wafaransa zaidi ya 600 wamejiunga na kundi la kigaidi la Daesh katika nchi za Syria na Iraq tangu baada ya mashambulizi ya kigaidi ya Paris Novemba mwaka jana.
-
Ufaransa: Kutiwa mbaroni Salah Abdeslam ni pigo kubwa kwa Daesh
Mar 20, 2016 04:39Waziri wa Mambo ya Ndani wa Ufaransa, Bernard Cazeneuve amesema kuwa, kutiwa mbaroni Salah Abdeslam, mshukiwa mkuu wa mashambulizi ya umwagaji damu mkubwa ya mwezi Novemba mwaka jana jijini Paris, Ufaransa na kusababisha makumi ya watu kuuawa, ni pigo kubwa kwa kundi la kigaidi la Daesh barani Ulaya.
-
Mahmoud Abbas aunga mkono mpango wa 'amani' wa Ufaransa
Mar 18, 2016 13:08Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amesisitiza tena juu ya uungaji mkono wake kwa mpango uliopendekezwa na Ufaransa wa kuitishwa mkutano wa kimataifa kwa ajili ya mazungumzo ya mapatano ya Mashariki ya Kati.
-
Ufaransa yatuhumiwa kuwa na nafasi katika machafuko ya Jamhuri ya Afrika ya Kati
Feb 28, 2016 13:02Wanasiasa nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati wameituhumu Ufaransa kuwa ina nafasi kuu katika kuzusha machafuko nchini humo.
-
Vikosi maalum vya Ufaransa vyaingia Benghazi, Libya
Feb 24, 2016 04:08Vikosi maalumu vya Ufaransa vimewasili Benghazi, Libya kumuunga mkono Brigedia Jenerali Khalifa Haftar.
-
Utafiti: Francois Hollande kuwania tena urais Ufaransa
Feb 18, 2016 04:28Uchunguzi wa maoni unaonyesha kuwa, Rais wa Ufaransa, Francois Hollande huenda akatetea kiti chake kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka ujao.