-
Baada ya makabiliano makali, Rais wa Kazakhstan atangaza kurejeshwa nidhamu, atoa amri ya kupigwa risasi “waasi”
Jan 07, 2022 15:51Televisheni ya taifa ya Kazakhstan imemnukuu Rais wa nchi hiyo, Kassym-Jomart Tokayev, akisema leo Ijumaa kwamba nidhamu na utawala wa kikatiba umerejeshwa katika maeneo mengi ya nchi hiyo.
-
Makumi wauawa na kujeruhiwa katika ufyatuaji risasi uliotokea kwenye chuo kikuu, Russia
Sep 20, 2021 10:48Watu wasiopungua wanane wameuawa na wengine wasiopungua 19 wamejeruhiwa baada ya mwanachuo aliyekuwa na silaha kufyatua risasi ndani ya jengo la chuo kikuu cha mji wa Perm ulioko umbali wa kilomita 1,800 mashariki ya mji mkuu wa Russia, Moscow.
-
Watu 430 wauliwa katika ufyatuaji risasi wiki iliyopita nchini Marekani
Jul 26, 2021 07:39Takwimu mpya zinaonyesha kuwa watu wasiopungua 430 wameuawa katika mashambulizi 915 ya kufyatuana risasi yaliyojiri nchini Marekani wiki iliyopita pekee.
-
Kuongezeka mara tatu ufyatuaji risasi wa mauti dhidi ya watoto mjini Chicago, Marekani
Jun 15, 2021 03:53Matukio ya ufyatuaji risasi wa kutisha dhidi ya watoto yanayousababisha vifo vingi katika mji wa Chicago, Marekani vimeongezeka mara tatu mwaka huu ikilinganishwa na mwaka uliopita wa 2020.
-
Wamarekani zaidi ya elfu 13 wameaga dunia kwa silaha moto tangu mwanzoni mwa mwaka huu
Apr 27, 2021 04:20Ripoti iliyotolewa katika makavazi ya ukatili wa silaha nchini Marekani inaonyesha kuwa, zaidi ya watu elfu 13 wamepoteza maisha katika matukio ya ufyatuaji risasi nchini humo tangu mwanzoni mwa mwaka huu wa 2021.
-
60 wauawa na kujeruhiwa katika ufyatuaji risasi Marekani
Oct 07, 2020 04:45Watu 60 wameuawa au kujeruhiwa kwenye matukio ya ufyatuaji risasi katika maeneo tofauti ya Marekani ndani ya masaa machache yaliyopita.
-
Watu 10 wauawa katika ufyatuaji risasi katika mji wa Chicago nchini Marekani
Sep 10, 2020 01:13Watu 10 wameuawa kwenye matukio ya ufyatuaji risasi katika mji wa Chicago kwenye jimbo la Illinois nchini Marekani.
-
Hali ya fadhaa kando ya kasri ya kifalme ya Saudi Arabia
Jul 21, 2020 11:31Baadhi ya vyombo vya habari vimeripoti kusikika hii leo milio ya risasi kando ya kasri ya kifalme huko Riyadh mji mkuu wa Saudi Arabia.
-
Trump awatisha waandamanaji wanaolalamikia ukatili Polisi Marekani dhidi ya Wamarekani Weusi
May 30, 2020 08:14Ukatili usio na kikomo wa Jeshi la Polisi nchini Marekani dhidi ya Wamarekani wenye asili ya Afrika au Wamarekani weusi ambao unafanyika katika fremu ya sera jumla za ubaguzi wa rangi dhidi ya kaumu hiyo umeibua malalamiko makubwa katika siku za hivi karibuni nchini humo. Malalamiko hayo yameibuka baada ya Mmarekani mweusi kuuawa kinyama siku chache zilizopita mikononi mwa afisa wa polisi mzungu.
-
Wamarekani wazidi kutwangana risasi wakati wa corona, mauaji yaongezeka kwa asilimia 200 New York pekee
May 18, 2020 00:40Ingawa kuna uchujaji mkubwa wa habari lakini pamoja na hayo, takwimu zilizotolewa na jeshi la polisi mjini New York Marekani zinaonesha kuwa, kesi za watu kupigana risasi wakati huu wa corona zimeongezeka sana, kiasi kwamba katika kipindi cha wiki moja tu iliyopita, kesi hizo ziliongezeka mara tatu zaidi ikilinganishwa na mwaka jana.