-
Safari ya Papa Francis nchini Iraq, wito wa kuishi pamoja kwa amani wafuasi wa dini tofauti
Mar 06, 2021 07:30Katika miaka ya karibuni nchi ya Iraq imekuwa uwanja wa mashambulio na harakkati ya makundi ya kigaidi na kitakfiri hususan kundi la Daesh ambalo limesababisha madhara makubwa kwa nafsi na mali za wananchi wote wa nchi hiyo, Waislamu na Wakristo.
-
Biden atoa ahadi ya kufunga Guantanamo waliyoshindwa kutekeleza na Obama
Feb 13, 2021 05:14Rais Joe Biden wa Marekani ameahidi kuwa serikali yake itahakikisha kuwa gereza la kutisha la Guantanamo linafungwa kufikia mwishoni mwa uongozi wake.
-
Hatua mpya ya serikali ya Trump dhidi ya Cuba
Jan 13, 2021 07:00Ikiwa ni katika kudumisha siasa zake za uhasama dhidi ya serikali za mrengo wa kushoto katika eneo la Amerika ya Latini, serikali ya Rais Donald Trump wa Marekani kwa mara nyingine imelirejesha jina la Cuba katika orodha ya nchi zinazodaiwa kuunga mkono ugaidi.
-
Waziri wa Ulinzi wa Iran: Ushahidi unaonesha kuwa Israel ilimuua shahidi Fakhrizadeh
Jan 06, 2021 12:27Waziri wa Ulinzi wa Iran amesema kuna ushahidi wa kutosha na wenye mashiko unaoonesha kuwa utawala haramu wa Israel ulihusika na mauaji ya kigaidi dhidi ya mwanasayansi bingwa wa nyuklia wa Jamhuri ya Kiislamu, Mohsen Fakhrizadeh.
-
Walimwengu wapaza sauti kulaani mauaji ya mwanasayansi wa nyuklia wa Iran
Nov 29, 2020 04:20Mataifa na viongozi mbalimbali wa dunia wameendelea kulaani mauaji ya mwanasayansi wa nyuklia wa Iran na kusisitiza kuchukuliwa hatua waliohusika na jinai hiyo.
-
Iran yalaani shambulizi la kigaidi Vienna nchini Austria
Nov 03, 2020 06:34Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje wa Iran amelaani shambulizi la kigaidi lililotokea nchini Austria na kusema kuwa, kuna udharura wa kuwepo ushirikiano wa jamii ya kimataifa kwa ajili ya kukabiliana na mizizi ya ugaidi.
-
Rais wa zamani wa Ufaransa: Si sahihi kuwahusisha magaidi na Uislamu
Oct 31, 2020 04:08Rais wa zamani wa Ufaransa, François Hollande amemuonya rais wa hivi sasa nchi hiyo Emmanuel Macron na kusema kuwa hapaswi kuwahusisha magaidi na dini ya Uislamu.
-
Waziri Mkuu wa Canada apingana na Macron, asema Uislamu hauna mfungamano na ugaidi
Oct 30, 2020 05:24Waziri Mkuu wa Canada, Justin Trudeau amesema kuwa gaidi aliyetekeleza hujuma ya kigaidi katika mji wa Nice nchini Ufaransa hawakilishi dini ya Uislamu wala Waislamu, na kwamba watu wote wanapasa kukiri ukweli huo.
-
Ufaransa yalaumiwa kwa kuficha tukio la kudungwa visu Waislamu 2 kwenye Mnara wa Eiffel, al Azhar yaalani
Oct 22, 2020 23:31Mashambulizi na hujuma dhidi ya Waislamu nchini Ufaransa yameongezeka katika siku chache za hivi karibuni kwa kisingizio cha kupambana na "misimamo mikali".
-
Ahadi ya Marekani; kuondolewa jina la Sudan katika orodha ya mataifa yanayounga mkono ugaidi
Oct 20, 2020 23:06Majadiliano baina ya Marekani na Sudan yangali yanaendelea huku kila upande ukijaribu kuubembeleza upande wa pili.