Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

ugaidi

  • Muhammad Ali al-Houthi: Ugaidi ni wenzo unaotumiwa na Trump kuwakandamiza wapinzani

    Muhammad Ali al-Houthi: Ugaidi ni wenzo unaotumiwa na Trump kuwakandamiza wapinzani

    Aug 01, 2020 21:01

    Mkuu wa Kamati Kuu ya Mapinduzi ya Yemen amesema kuwa, Rais Donald Trump wa Marekani amekuwa akitumia ugaidi kama wenzo wa kukabiliana na wapinzani wa siasa za Washington pamoja na ugaidi wa kiserikali wa nchi hiyo.

  • Balozi wa Syria Tehran: Uchokozi wa Marekani dhidi ya ndege ya abiria ya Iran ni ugaidi

    Balozi wa Syria Tehran: Uchokozi wa Marekani dhidi ya ndege ya abiria ya Iran ni ugaidi

    Jul 25, 2020 22:11

    Balozi wa Syria mjini Tehran amesema, uchokozi wa ndege za kivita za Marekani dhidi ya ndege ya abiria ya Iran katika anga ya Syria ni nembo na dhihirisho la ugaidi wa Marekani dhidi ya raia wakiwemo wanawake na watoto.

  • Ripoti ya kila mwaka ya Marekani kuhusu ugaidi; hila ya kujitia pambani ili kujivua na lawama

    Ripoti ya kila mwaka ya Marekani kuhusu ugaidi; hila ya kujitia pambani ili kujivua na lawama

    Jun 26, 2020 09:01

    Baada ya matukio ya Septemba 11, 2001, Marekani ilitumia kisingizio cha kupambana na ugaidi duniani ili kuzishambulia na kuzikalia kijeshi Afghanistan na Iraq.

  • Ivory Coast yamtia nguvuni kiongozi wa kundi lililofanya shambulizi la tarehe 10 Juni

    Ivory Coast yamtia nguvuni kiongozi wa kundi lililofanya shambulizi la tarehe 10 Juni

    Jun 22, 2020 21:59

    Ivory Coast imetangaza kuwa imemtia nguvuni mkuu wa kundi la makomando waliofanya shambulio la Juni 10 ambalo liliwauwa askari wasiopungua 10 kaskazini mwa nchi hiyo.

  • Matamshi ya Rais wa Marekani kuhusu kufaidika Taliban na uwepo wa askari wa Marekani nchini humo

    Matamshi ya Rais wa Marekani kuhusu kufaidika Taliban na uwepo wa askari wa Marekani nchini humo

    May 20, 2020 02:22

    Rais wa Marekani amesema uwepo wa askari wa nchi yake huko Afghanistan ni kwa faida ya Taliban na hivyo kundi hilo halitaki askari wa Marekani waondoke.

  • Marekani ya Trump; nembo na mshirika wa ugaidi wa kiserikali ulimwenguni

    Marekani ya Trump; nembo na mshirika wa ugaidi wa kiserikali ulimwenguni

    May 15, 2020 21:58

    Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Marekani ni nembo ya ugaidi wa kiserikali na kueleza kwamba, historia ya nchi hiyo katika kuunga mkono ugaidi iko wazi kabisa.

  • Balozi wa Syria UN: Ugaidi wa siha wa Marekani umehatarisha maisha ya watu bilioni mbili duniani

    Balozi wa Syria UN: Ugaidi wa siha wa Marekani umehatarisha maisha ya watu bilioni mbili duniani

    May 10, 2020 08:58

    Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Syria katika Umoja wa Mataifa amesema, ugaidi unaolenga siha za watu ni hatua mpya ya upande mmoja ya Marekani ambayo imeyaweka hatarini maisha ya watu bilioni mbili duniani.

  • Makumi ya wanakijiji wauawa na magaidi kaskazini mwa Msumbiji

    Makumi ya wanakijiji wauawa na magaidi kaskazini mwa Msumbiji

    Apr 22, 2020 08:27

    Jeshi la Polisi la Msumbiji limetangaza habari ya kuuawa makumi ya watu katika shambulizi jipya la kigaidi lililotokea huko kaskazini mwa nchi hiyo ya kusini mwa Afrika.

  • Wakati dunia imezongwa na corona, Marekani yawapelekea shehena za silaha magaidi nchini Syria

    Wakati dunia imezongwa na corona, Marekani yawapelekea shehena za silaha magaidi nchini Syria

    Mar 30, 2020 23:15

    Katika hali ambayo dunia imehamanika kutokana na janga la kirusi hatari cha corona, ndio kwanza dola la kibeberu na kiistikbari la Marekani linawatumia shehena za silaha magaidi huko nchini Syria.

  • Zarif: Ugaidi wa kiuchumi wa Marekani umegeuka na kuwa ugaidi wa kimatibabu

    Zarif: Ugaidi wa kiuchumi wa Marekani umegeuka na kuwa ugaidi wa kimatibabu

    Mar 07, 2020 23:15

    Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Rais Donald Trump ameshadidisha vikwazo haramu vya kiuchumi vya Marekani dhidi ya Iran kwa lengo la kufyonza rasilimali za taifa hili zinazohitajika kwa ajili ya kupambana na virusi hatari vya Corona.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS