-
Askari kadhaa wa Somalia wauawa katika mripuko wa bomu Mogadishu
Aug 11, 2023 02:18Wanajeshi kadhaa wa Somalia wamepoteza maisha baada ya gari lililokuwa limewabeba kukanyaga bomu katika mji mkuu wa nchi hiyo Mogadishu.
-
Makumi wauawa katika shambulizi la magaidi wa ISWAP Nigeria
Jul 27, 2023 10:19Makumi ya watu wameuawa nchini Nigeria katika shambulizi la kundi la kigaidi la ISIS au Daesh tawi la Afrika Magharibi (ISWAP).
-
Ecowas: Afrika Magharibi imesajili mashambulizi ya kigaidi zaidi ya 1,800 hadi sasa
Jul 27, 2023 02:30Omar Touray Mwenyekiti wa Kamisheni ya Jumuiya ya Ecowas amesema katika kikao cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuwa watu laki tano katika Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Magharibi mwa Afrika (Ecowas) yenye nchi wanachama 15 ni wakimbizi. Ameongeza kuwa watu wengine karibu milioni 6 na laki mbili wamekuwa wakimbizi wa ndani katika nchi hizo za magharibi mwa Afrika.
-
Kutiwa nguvuni wanachama wa mtandao mkubwa zaidi wa kigaidi wenye mfungamano na utawala wa Kizayuni wa Israel nchini Iran
Jul 26, 2023 08:07Wizara ya Usalama wa Taifa ya Iran imetangaza kuwa imewatia mbaroni wanachama wa mtandao mkubwa zaidi wa kigaidi wenye mfungamano na utawala wa Kizayuni wa Israel katika mikoa kadhaa nchini.
-
UN yalaani shambulizi la kigaidi Uganda, waliouawa ni zaidi ya 40
Jun 18, 2023 07:45Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres amelaani vikali shambulizi la kigaidi lililoua makumi ya wanafunzi katika eneo la Mpondwe, magharibi mwa Uganda.
-
Rais wa Iran: Syria imeibuka na ushindi licha ya vitisho na vikwazo
May 03, 2023 11:40Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, serikali ya Syria pamoja na wananchi wa nchi hiyo wamepitia masaibu na matatizo mengi na hii leo taifa hilo limeweza kuibuka ushindi.
-
Ripoti: Vifo vya hujuma za kigaidi eneo la Sahel vimeongezeka kwa 2000%
Mar 24, 2023 02:23Ripoti mpya iliyochapishwa na taasisi moja inayofuatilia mashambulizi na mieiendo ya makundi ya kigaidi duniani inasema kuwa, vifo vinavyotokana na hujuma za kigaidi katika eneo la Sahel barani Afrika vimeongezeka kwa asilimia 2000 katika kipindi cha miaka 15 iliyopita.
-
Waziri Mkuu wa Mali: Tuna ushahidi, Ufaransa inashirikiana na magaidi
Mar 08, 2023 06:37Waziri Mkuu wa Mali, Choguel Kokalla Maïga, amefichua - katika mahojiano maalumu na televisheni ya Al-Jazeera ya Qatar- kuwa Bamako ina taarifa sahihi na ushahidi kwamba baadhi ya magaidi waliko nchini Mali wamekuwa wakiwasiliana na Ufaransa.
-
Mchango wa NATO katika kuimarika magaidi barani Afrika
Mar 08, 2023 02:25Uwepo wa makundi ya kigaidi amilifu katika maeneo mbalibali barani Afrika hususan katika eneo la Sahel Afrika umekuwa tatizo na kikwazo cha kurejesha amani katika mataifa ya aeneo hilo.
-
Iran yalaani hujuma ya kigaidi ya Daesh huko Homs, Syria
Feb 19, 2023 07:07Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani vikali jinai ya hivi karibuni ya kundi la kigaidi la ISIS au Daesh katika viunga vya mji wa Homs nchini Syria na kusema: "Utawala wa Marekani unafuatilia sera za undumakuwili katika masuala ya kimataifa ikiwa ni pamoja na mapambano dhidi ya ugaidi."