Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Uganda

  • Vyombo binafsi vya habari Uganda vyakataa kurusha hotuba ya Rais Museveni

    Vyombo binafsi vya habari Uganda vyakataa kurusha hotuba ya Rais Museveni

    Nov 25, 2020 04:42

    Muungano wa Wamiliki wa Vyombo vya Habari nchini Uganda umekataa kurusha hewani hotuba ya Rais Yoweri Museveni wa nchi hiyo ukisisitiza kwamba kufanya hivyo ni kutoa upendeleo kwa mgombea mmoja dhidi ya wengine katika wakati huu wa kampeni za uchaguzi mkuu.

  • Vyombo vya dola vya Uganda vyamuachia huru Bobi Wine; waliouawa katika ghasia wapindukia 60+SAUTI

    Vyombo vya dola vya Uganda vyamuachia huru Bobi Wine; waliouawa katika ghasia wapindukia 60+SAUTI

    Nov 20, 2020 10:57

    Kiongozi wa chama cha upinzani cha National Unity Platform (NUP) ambaye pia na mgombea urais nchini Uganda, Robert Kyagulanyi, maarufu kwa jina la Bobi Wine ameachiwa huru kwa dhamana na mahakama moja ya nchi hiyo. Hii ni baada ya kushtadi maandamano ya ghasia yaliyopelekea makumi ya watu kuuawa kufuatia kukamatwa kwa mwanasiasa huyo chipukizi.

  • Watu 16 wauawa katika ghasia za kisiasa Uganda, baada ya Bobi Wine kukamatwa

    Watu 16 wauawa katika ghasia za kisiasa Uganda, baada ya Bobi Wine kukamatwa

    Nov 19, 2020 11:33

    Jeshi la Polisi la Uganda limetangaza habari ya kuuawa watu wasiopungua 16 katika maandamano ya fujo yanayoshuhudiwa katika mji mkuu Kampala tokea jana, baada ya kutiwa mbaroni kiongozi wa chama cha upinzani cha National Unity Platform (NUP) ambaye pia na mgombea urais nchini humo, Robert Kyagulanyi, maarufu kwa jina la Bobi Wine.

  • Mkuu wa Tume ya Uchaguzi nchini Uganda aonana na wagombea kutuliza mambo + SAUTI

    Mkuu wa Tume ya Uchaguzi nchini Uganda aonana na wagombea kutuliza mambo + SAUTI

    Nov 16, 2020 12:08

    Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya Uganda amekutana na wagombea urais wa uchaguzi unaotarajiwa kufanyika tarehe 14 Januari 2021 nchini humo, ili kutatua migogoro iliyojitokeza wakati huu wa kampeni za uchaguzi. Maelezo zaidi na mwandishi wetu wa Kampala, Kigozi, Ismail.

  • Wizara ya Afya ya Uganda imeweka kanuni mpya za kudhibiti ugonjwa wa Covid-19 unaoitaabisha dunia nzima hivi sasa + SAUTI

    Wizara ya Afya ya Uganda imeweka kanuni mpya za kudhibiti ugonjwa wa Covid-19 unaoitaabisha dunia nzima hivi sasa + SAUTI

    Nov 14, 2020 13:48

    Wizara ya Afya ya Uganda imeweka kanuni mpya za kudhibiti ugonjwa wa Covid-19 baada ya kukabiliwa na changamoto kali za kuukabili ugonjwa huo unaoitaabisha dunia nzima hivi sasa.

  • Uganda yatangaza tarehe ya uchaguzi mkuu, kampeni kuanza Jumatatu

    Uganda yatangaza tarehe ya uchaguzi mkuu, kampeni kuanza Jumatatu

    Nov 05, 2020 08:20

    Tume ya Uchaguzi Uganda (EC) imetangaza tarehe 14 Januari mwaka ujao 2021 kuwa siku ya kufanyika uchaguzi mkuu ukiwemo wa urais.

  • Mpinzani wa Rais Museven, Bobi Wine akamatwa baada ya kupasishwa kugombea urais

    Mpinzani wa Rais Museven, Bobi Wine akamatwa baada ya kupasishwa kugombea urais

    Nov 03, 2020 07:18

    Kiongozi wa Jukwaa la Umoja wa Kitaifa anayebeba bendera ya chama hicho katika uchaguzi ujao wa rais nchini Uganda, Robert Kyagulanyi maarufu kwa jina la Bobi Wine amekamatwa muda mfupi baada ya kupasishwa kugombea kiti hicho.

  • Licha ya changamoto za corona kwa maisha ya watu, sekta ya kilimo imekuwa na ustawi nchini Uganda + SAUTI

    Licha ya changamoto za corona kwa maisha ya watu, sekta ya kilimo imekuwa na ustawi nchini Uganda + SAUTI

    Oct 31, 2020 04:58

    Sekta ya kilimo imekuwa na ustawi nchini Uganda licha ya hali ngumu inayowakabili wananchi kutokana na janga la Covid-19

  • Polisi ya Uganda yasema imemkamata Bobi Wine kwa kuvaa magwanda ya kijeshi

    Polisi ya Uganda yasema imemkamata Bobi Wine kwa kuvaa magwanda ya kijeshi

    Oct 15, 2020 04:00

    Vyombo vya usalama nchini Uganda vimesema lengo la kuvamia makao makuu ya chama cha upinzani cha NUP na kumtia mbaroni Bobi Wine, kinara wa chama hicho anayetazamiwa kuwania urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka ujao, ni kukusanya magwanda ya kijeshi yanayovaliwa na wafuasi wa chama hicho.

  • Rais wa Uganda atetea uamuzi wa serikali yake kusaidia ujenzi wa barabara ya kuunganisha nchi hiyo na majirani zake + SAUTI

    Rais wa Uganda atetea uamuzi wa serikali yake kusaidia ujenzi wa barabara ya kuunganisha nchi hiyo na majirani zake + SAUTI

    Oct 12, 2020 12:25

    Rais Yoweri Museveni wa Uganda Atetea uamuzi wa serikali yake kusaidia ujenzi wa barabara kubwa ya lami ya kuunganisha nchi hiyo na majirani zake wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Sudan Kusini, licha ya Uganda yenyewe kukabiliwa na hali ngumu kiuchumi hivi sasa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS