-
EACJ yatupilia mbali faili la ukomo wa urais nchini Uganda
Sep 30, 2020 10:11Mahakama ya Uadilifu ya Afrika Mashariki (EACJ) imetupilia mbali faili lililowasilishwa kwake la kupinga uamuzi wa Mahakama ya Juu ya Uganda, wa kuidhinisha mabadiliko ya katiba yalioondoa ukomo wa umri wa kugombea urais katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki.
-
Sala za Ijumaa zaanza upya nchini Uganda + Sauti
Sep 26, 2020 01:30Sala za Ijumaa zimeanza tena nchini Uganda baada ya kusimamishwa kwa muda kutokana na maambukizi ya kirusi cha corona. Katika hotuba za jana Ijumaa, Waislamu nchini humo walihimizwa kumtii Mola Karima na kuomba kusamehewa madhambi yao. Kigozi Ismail na maelezo zaidi kutoka Kampala.
-
Uganda ina hamu ya kuimarisha uhusiano wa kiuchumi, sayansi na Iran
Sep 24, 2020 03:42Spika wa Bunge la Uganda, Rebecca Kadaga amepongeza uhusiano wa kidugu uliopo baina ya nchi hiyo na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kusisitiza kuwa, kuna umuhimu wa kuimarishwa zaidi uhusiano huo katika nyuga za uchumi, sayansi na teknolojia baina ya Kampala ya Tehran.
-
Askari usalama wa Uganda wamewatia mbaroni wafungwa kadhaa waliotoroka katika jela ya Moroto + SAUTI
Sep 18, 2020 09:04Askari usalama wa Uganda wamewatia mbaroni wafungwa kadhaa katika msako wa kuwanasa wafungwa zaidi ya 219 waliotoroka jela ya Moroto wakiwa na bunduki 15
-
Makumi ya wafungwa watoroka jela nchini Uganda
Sep 17, 2020 03:40Makumi ya wafungwa wametoroka jela katika wilaya ya Moroto, kaskazini mashariki mwa Uganda na kukimbilia kusikojulikana.
-
UN yawatuza mamia ya askari wa Uganda walioko Somalia
Sep 01, 2020 03:14Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amewapa medali ya heshima wanajeshi 600 wa Uganda wanaolinda taasisi na wafanyakazi wa UN nchini Somalia.
-
Watoto 10 wafa kwa kupigwa na radi nchini Uganda
Aug 29, 2020 02:24Watoto kumi wameaga dunia baada ya kupigwa na radi wakati wakicheza mpira wa miguu katika mji wa Arua, kaskazini magharibi mwa Uganda.
-
Rais Museveni awaonya wanasiasa wa upinzani+SAUTI
Aug 21, 2020 11:18Ikiwa imesalia miezi mitano kabla ya kufanyika uchaguzi mkuu nchini Uganda, wanasiasa wa pande zote nchini humo wamezidi kutupiana lawama nzito.
-
Bobi Wine asema Polisi Uganda wamefyatua risasi kuwatawanya wafuasi wake
Aug 09, 2020 03:27Bobi Wine, nyota wa muziki na mwanasiasa machachari anayetazamiwa kuwania urais katika uchaguzi mkuu unaotazamiwa kufanyika mwaka ujao nchini Uganda amesema baadhi ya wafuasi wake walijeruhiwa hapo jana baada ya polisi kufyatua risasi na mabomu ya kutoa machozi kutawanya umati wa watu huko mashariki mwa nchi hiyo.
-
Uingiaji holela wa wakimbizi nchini Uganda hautaruhusiwa kutokana na sababu za kiusalama + SAUTI
Jul 28, 2020 12:37Serikali ya Uganda imesema, kutokana na sababu za kiusalama, haitaruhusu wakimbizi wa kila aina kuingilia kiholela nchini humo.