Sala za Ijumaa zaanza upya nchini Uganda + Sauti
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i63646-sala_za_ijumaa_zaanza_upya_nchini_uganda_sauti
Sala za Ijumaa zimeanza tena nchini Uganda baada ya kusimamishwa kwa muda kutokana na maambukizi ya kirusi cha corona. Katika hotuba za jana Ijumaa, Waislamu nchini humo walihimizwa kumtii Mola Karima na kuomba kusamehewa madhambi yao. Kigozi Ismail na maelezo zaidi kutoka Kampala.
(last modified 2023-11-27T12:14:11+00:00 )
Sep 26, 2020 05:00 UTC